Mzalendo80
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 2,509
- 1,340
Hajafuta. you need to log in your facebook account to read all the comments. Ila comments wanazoacha watu sio mchezo though nakubaliana nae aliposema we "have survived for fifty years." Yaliyondikwa kule yangeandikwa hapa unakula ban la maisha.
Wewe asha sultan hebu njoo ujibu maswali yangu kwa niaba ya vasco da gama, hebu njoo haraka huyu rais ameishapewa mamizinga ya konyag kazima saiv, asha njoo online tafadhal nina maswal kwako, usisifie ukakimbia@asha sultan
Sasa kampatia mwanae nafasi ya masters uk, kwa gharama ya karibu wanafunzi kumi wa masters iwapo watasoma Muhimbili. Hii ni aibu ya mwaka kwa Wizara ya Afya kutoa nafasi mbili au moja kwa kila speciality na kuwaacha zaidi ya wataalam watarajiwa 200 bila ada. Nchi hii ipo ICU, pesa za maendeleo hakuna ila za kuandaa sherehe ya miaka 50 zipo. Jamani huyu jamaa anahitaji kura ya kutokuwa na imani naye, kinyume chake tunajitakia matatizo zaidiMuziki wa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu hajawahi kuumudu tangu ameingia magogoni 2005. Sasa mwaka huu bodi ya mikopo imetoa mikopo kwa watu wachache kuliko hata mwaka jana, huo mtanange unaokuja sipati picha.
Lakini kama kawaida ya jk atanyamaza kimya kama haoni wala kusikia na kumuachia homeboy wake kawambwa na safari za nje zitaongezeka.
Jamani nimeingia naona majina zaidi ya sita ya kwake ipi yenye hizo comment?
Hahahaha... Hivi weye unadhani jk anamuda wa kupoteza facebook!...???! Huyo obvious ni mtu kaamua kutumia jina la jk!.. Hata mimi naweza nikaamuwa na kutengeneza id nikaipa jina jk...