Jk aoga matusi na dhihaka katika status yake facebook kuhusu miaka 50 na amani yetu

Jk aoga matusi na dhihaka katika status yake facebook kuhusu miaka 50 na amani yetu

Mbona hajibu hoja za friends wake wa FB?
 
matusi hayana maana yoyote kufikisha ujumbe kwa raisi,,ni vyema watu mkajifunza kuwa wastaarabu tu na kuongea maneno ya busra kwa viongozi wenu
 
matusi hayana maana yoyote kufikisha ujumbe kwa raisi,,ni vyema watu mkajifunza kuwa wastaarabu tu na kuongea maneno ya busra kwa viongozi wenu

>labda Kama Unamtaka Ili Ukuwa Mkuu Wa Wilaya/mkurugenzi
 
Hapa ipo inayosemekana kuwa amani kwasababu ya kitumia jeshi na usalama wa taifa kutawala Bila hivyo jamaa wangesepa!
 
Imetisha! Duh! Mkwe.r.e yake ngoma, shuuli na kuzika! Urais mmpeni mkuria au mmasai au mngoni!
 
Dah tutapata kweli kiongozi mwenye uchungu na hii nchi? Hivi kweli tunaua tembo ili tupate meno? Kweli dhahabu, gas, tanzanite vinachimbwa na kwenda nje mimi mtanzania sipati hata senti? Kweli wanyama wetu wanawindwa maelfu kila siku kwa mboga za wakubwa na masoko ya nje? Dah inasikitisha sana kuona leo nalazimishwa kuchangia ujenzi wa maabara, kullipa kodi kibwa kwenye mshahara wangu: Dah Viongozi wetu kweli mnatufanyia hivi?
 
Ni umbumbu kuamini kuwa alikuwa JK labda ni Jommo Kenyatta
 
Back
Top Bottom