Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
:bange: Maalim, nyota yangu nguruwe naomba unitabirie :bange:
hii ni kali nilikuwa sijaionawadau hii imekaaje? i guess haina anya relation na kifo cha Sheikh Yahaya
![]()
Rais Jakaya Kikwete akiweka mchanga katika kabuli la Sheikh Yahya Husein wakati wa mazishi yake leo hii kwenye makaburi ya Tambaza jijini Dar es salaam.

kufa kila mtu atakufa, na si vyema kumhukumu aliyetangulia. Kwani uzima ni wa Mungu na kifo ni kazi yake. Kuhusu kuanguka kwa jk cdhani ni vyema kuhusisha na ushirikina, kwani hata Dr Slaa alianguka, na akavunjika na mkono, na hiyo tuiteje?, sihani kama tutakuwa tunaendeshwa na hisia na kuropoka itatufikisha kwenye ukombozi na ushawishi tunaoutaka. Wafaham kama mbowe alikuwepo kwenye msiba? Jiulize Sheikh yahya nani asiyemfaham ? Siasa ni watu. Usitoe maneno ya kuwafanya baadhi ya watu watilie shaka mtazamo wako.