Ally Kiba na Diamond wakiwa kwenye'Buffet' wakichukua msosi pamoja..
Leo kutoka ukumbi Mlimani City, Dar es Salaam kuna hafla ya kumpongeza Rais Kikwete kwa utawala wake wa miaka kumi, pongezi hizi zitatoka kwa muunganiko wa wasanii Tanzania. Aidha hafla hii itamkaribisha Magufuli ambae ni mgomba urais kupitia Chama cha Mapinduzi.