JK awakutanisha Ali Kiba na Diamond

JK awakutanisha Ali Kiba na Diamond

Rio Tinto

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2014
Posts
777
Reaction score
451
kibamond-jpeg.274177

Ally Kiba na Diamond wakiwa kwenye'Buffet'
wakichukua msosi pamoja..

Leo kutoka ukumbi Mlimani City, Dar es Salaam kuna hafla ya kumpongeza Rais Kikwete kwa utawala wake wa miaka kumi, pongezi hizi zitatoka kwa muunganiko wa wasanii Tanzania. Aidha hafla hii itamkaribisha Magufuli ambae ni mgomba urais kupitia Chama cha Mapinduzi.

Chanzo: Azam Tv, Clouds Tv & Star Tv

 

Attachments

  • Kibamond.jpeg
    Kibamond.jpeg
    17.5 KB · Views: 2,479
Madame na mkulu wa nchi....
 

Attachments

  • 1438885326178.jpg
    1438885326178.jpg
    54 KB · Views: 6,018
naona wapo ndani ya suti wote kweli walipendezamo mnoo. vidosho wavalie jukwani.tu jk naona kanishikia madam kiuno waka selifika atari atari big up.
 
Kwenye speech ya Diamond kamera ilimwonesha wema na Ali kiba H.A.T.E on their eyes.
 
maadili hakuna kabisaa
bhushoke anaimba wimbo wa matusi mbele ya rais
 
Back
Top Bottom