JK awakutanisha Ali Kiba na Diamond

+Hawa hapa...

+Nani anamuogopa mwenzie hapa ...!?
 

Attachments

  • 1438892297482.jpg
    14.8 KB · Views: 1,019
Diamond n kiba wameonekana pamoja katika halfa ya kumuaga Raisi J.K n kuthibitisha kuwa hawana bifu
 

Attachments

  • ?+255 715 816 240? 20150806_233253.jpg
    18.1 KB · Views: 1,846
aisee umewaona hao tu, hebu tuwaache vijana waenjoy life lao
 
All in all...ilikua function ya ukweliii! Nimependa zaidi hotuba ya Nick wa pilii...the guy anajielewaaa sana. Kweli ni msanii msomi!

Kila la kheri katika vision yao...ili nao tuje tuwaone baadae level za akina Chris B, Rihanna, Taylor Swift, Beyonce, Brad Pitt na wengineooo!
 
Mashabiki tuache figisufigisu.Tuwaache wanamusic wetu wafanya yao maisha yaende.
 
jk napenda alivyo karibu na watu yani yupo simple...!!! Kama obama kwenda supermarket kwa miguu...!!!
Kwa hili big up jk..!!

Nikirudi kwenye post sijaelewa ali kiba na dai wamekutanishwa au kupataniswa na rais au mi ndo sijaelewa...!!
 
​DIAMOND anaongea kuna watu wamevimba kama walilazimishwa kuenda huko.
 
Pesa hizo ningekuwa na pesa ningeongea nao biashara.
 
aisee kedrick tangulia mirembe kabla kichaa hakijakuzidia zaidi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…