Mchiwa Ng'ambaku
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 959
- 803
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ivi ni kweli kwamba hawa magwiji hawajawahi kukutana kama no!! basi tuseme amewaalika....japo bado sijakodolea kideoni..?!Azam Tv live now
Diamond n kiba wameonekana pamoja katika halfa ya kumuaga Raisi J.K n kuthibitisha kuwa hawana bifu
Huo udhibitisho upo wapi sasa?
Mkuu anapnda picha kweli alivyojiachia
Vipi le mutuz yupo huko?
+Hawa hapa...
+Nani anamuogopa mwenzie hapa ...!?
Nasubiria nione kama vile vitoto vya insta vitaporomosha maneno mabaya kwenye hiyo picha
Maana insta imevamiwaje
imevamiwa haswa kuna muda nikisoma matusi yale
nabaki hoi tu