JK azindua ujenzi wa hospital ya kisasa ya CCBRT

JK azindua ujenzi wa hospital ya kisasa ya CCBRT

Mwamikili

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
417
Reaction score
138
Rais Jakaya Kikwete azindua ujenzi wa hospital ya kisasa ya CCBRT Dar es salaam, ujenzi huo unategemewa kufanyika pembeni mwa eneo lao kubwa la iliyopo hospital ya sasa.
003.WALK.JPG

cc51.jpg


006.WALK.JPG
 
Pia umesahau kuandika kuwa JK uso kwa uso na Dr Slaa CCBRT leo!!!
 
bado maalim, tunataka kuona kazi yake nje ya siasa....
 
Mwenyekiti wa ccbrt ni Dr. Wilbroad P. Slaa
 
Wana jf! Kwnye tbc news ya saa mbli kulikua na taarifa ya dr slaa kama mkurugenzi wa ccbrt kukutana na Dr. Jakaya Kikwete kuhusu suala la fistula...... Je, Pasco et al wame prove failure kwa kusema previously that dr wa ukweli alikuwa anamkwepa JK?

I stand to be corrected logically.....but there is a very clear line between truth and lies!!
 
Hapo kwenye Picha kama vile Dr wa ukweli alibaniwa trak jacket na hao jamaa wa redheart voda!!! Au ndo utaifa mbele kila mahali?
 
Dah! Asanteni kwa kuniwekea picha wakuu! I refer to the presidaa as dr dr dr bse ndo wafuasi wake wanavyopenda kumwita bt not me my folks....,njiwa hawezi kuruka pamoja na bundi nduguzanguni! Solidarity forever!!
 
Hapo kwenye Picha kama vile Dr wa ukweli alibaniwa trak jacket na hao jamaa wa redheart voda!!! Au ndo utaifa mbele kila mahali?

Itakuwa wamembania. Na kama wamefanya ivyo wamemtambulisha zaidi kama mgeni 'wa pekee'. Au pengne hakutaka kufanana nao. Maana Ma Dr wa ukweli huwa wanareason sana. Hawakubali 2 hovyo hovyo
 
Hapo kwenye Picha kama vile Dr wa ukweli alibaniwa trak jacket na hao jamaa wa redheart voda!!! Au ndo utaifa mbele kila mahali?

Taarifa za kiinteligensia zinasema hilo ni suala la kiusalama zaidi. Maana haichelewi kuandaliwa 'maalum' kwa ajili yake toka huko wanapopajua. Kujiepusha na ya mwakyembe katoka na yake sandukuni
 
mengineyo tumeyaacha ili kulinda nchi-mwakyembe, alimficha mwizi kwa maslahi binafs sasa yamemtokea puan kwa kulinda uhalifu.dr slaa tegemeo la watesekao tz tu pamoja ipo siku tutashinda
 
kutaniko? hivi ni kiswahili sahihi au?
thats why i said that correct me from the wrong......so its up to you grammarian a.k.a noam chomsky to correct me!! Hope u ar very perplexed and vibrant!!
 
Back
Top Bottom