Jk,bongo movie wangeweza kuokoa maisha ya SAJUKI


Bwan ametoa, Bwana ametwaa.Jina lake lihimidiwe.
 
JK ana kazi kubwa sana zaidi ya hao wanaojulikana na kuomba msaada ikulu,alishapelekwa india na ikaonekana walimuongezea muda tu anachoumwa kilishafikia mwisho maana walichelewa!sioni sababu kulaumiana wala kutupiana maneno...RiP Sajuki
 
JK ana kazi kubwa sana
zaidi ya hao wanaojulikana na kuomba msaada ikulu,alishapelekwa india na
ikaonekana walimuongezea muda tu anachoumwa kilishafikia mwisho maana
walichelewa!sioni sababu kulaumiana wala kutupiana maneno...RiP
Sajuki

mwenyezi Mungu alitoa na ametwaa, jina lake litukuzwe, Amina.
 
Anayeweza kuokoa maisha ya binadamu ni Mungu pekee.
Huu Si wakati wa kumlaumu mtu.Hata ukilaumu ukweli ni kwamba hatunaye tena Sajuki (RIP).Kuwa mstaarabu.
labda hapo kwenye red anamaanisha haka kauzi huwezi jua!
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-anamiliki-mbingu-na-ardhi-5.html#post5331844
Katika kuchangia mjadala leo asubuhi ktk kipindi cha TUONGEE ASUBUHI...
Mzee huyu ambaye ni kada maarufu wa CCM amesema Rais Kikwete ni kama Mungu anayemiliki Mbingu na Ardhi ya Tanzania!

 
kwanza its wrong kwa rais kulipia matibabu ya selected individual!!! matibabu ya watu yanatakiwa yafate protocal za kawaida kama walivyo watu wengine i dont understand why the highest authority like state house should be involved!!!!! president ni rais wa watu wote anatakiwa asaidie watz wote kiujumla wake kuna watu wengi mahospitali wanakufa kwa kukosa basic medicine napenda ku differ unaweza kuta cost rais anayotoa kumpeleka mtu mmoja nje kutibiwa kama angeitumia vingine ingeweza okoa maisha ya watu zaidi ya 10 sasa kwa nini iwe ivyo?? kwanza rais anatengeneza element za ubaguzi ktk wananchi wake!!! kama mtu anataka kujitibia india either atumie pesa zake au akatafute msaaada kwa taasisi husika sio kwenda ikulu this is serious weakness on state house policy!!!
 
vipi, hujasoma uzi mmoja uko hapa jf ambao mzee mmoja anasema 'jk ni mungu'? Ngoja niutafute nikuwekee

du h naomba nami nisome huo usi kwa makini inawezekana huyo mze alibonga kinyume "jk ni MUNGU? wa wajaluo au? Sijadhau wajaluo hila nchi kenya wajaluo walikua na MUNGU wao hadi alipokufa wakamzika then wakaenda kufukua na kutorosha maiti ili waseme kafufuka bahati mbaya wakadabwa .
 
Mods, changanyeni hii thread na ile nyingine ya tanzia.
Cc @Ab Titchaz, Fang na Paw
 
Last edited by a moderator:
Wabongo bwana kwel vichwa vya wendawazim huyu sajuk mlijua atakufa lin?au mliweka mkataba na mungu kua afe kifo gan?cha msingi na busara kwa sasa tena cha shukuran kwa mungu ni sala na kuwaombea walioachwa na marehemu hasa kwa mkewe ambaye pamoja na hali yake pia kaachiwa familia ee mungu umsaidie mke wa ssajuki katika mapito haya
 
Mr dhaifu aka mnafki, kwan sajuk alikuwa ray c hadi amchangie matibabu?
 
Binafsi ninachoona Kikwete anastahili lawama ni yeye mwenyewe kuamua kuwasaidia baadhi ya watu anaoona yeye ni wa muhimu kwake na kutuacha watanzania mamilioni tukifa kwa kukosa huduma bora za afya.

Rais Kikwete angeacha legacy kama angetengeneza structure ambayo kila mtanzania bila kujalisha hali yake ya kiuchumi angekuwa na access ya huduma bora za afya hata kama ni kwa kuchangia kiasi kidogo cha pesa.

Rais Kikwete angefanya mapinduzi katika sekta ya afya, kwa kuongeza rasilimali watu, mishahara ya kukidhi mahitaji ya msingi, vifaa, majengo pamoja na madawa. Priority ingekuwa kila mtanzania atibiwe hapa hapa nchini bila kujalisha cheo chake serikalini. Anayetaka kwenda nje ya nchi aende kwa kupenda lakini si kwa sababu ya huduma mbovu nchini.

Hawa viongozi wa serikali wangekuwa wanatibiwa hapa nchini wangeona uchungu wa kuboresha hospitali zetu. Ndo maana wao kila siku wanapishana kwenda India na nchi zingine.

Hivi hawaoni aibu? Kwanini hakuna mtu kutoka sehemu yoyote duniani anayekuja kutibiwa Tanzania?
 
Jk anaona bora kuwasaidia mateja (ray c) tena mateja wa kujitakia pamoja na kukemewa na jamii kila cku kuliko kusaidia kioo cha jamii sajuki..
 
Wewe binafsi ulisaidia nini? Kama hukufanya chochote umeshachelewa basi kaa kimya

mbona povu la ghafla hivyo.??? Au na we umojawapo wawanafanyiwa scrabing na wanunua madila na miwani myeusi.
 

Hapa simo
 
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi,jamani Rais anahusika nini?Watanzania wengi wanaumwa na wanakufa kwa kukosa dawa au pesa ya kwenda India mbona hatujaona Rais au ikulu ikilaumiwa?Tujadili au tuilaumu ikulu,Rais,na hata serikali kwakutodumisha na kuboresha huduma za afya nchini zingekuwa bora tusingezungumzia India,wala UK.Madaktari wakisema kuwa wao wapo na wanauwezo wa kitaaluma tatizo ni vifaa tiba hatuwaungi mkono hata wanapopigwa tunaona ni sawa,wao wakitaka kwenda India hawasubiri michango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…