Slaa anakujaje hapa.slaa alimchangia elfu ngapi?
Issue hii siyo ya kisiasa ni issue ya kijamii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Slaa anakujaje hapa.slaa alimchangia elfu ngapi?
Kwanza niwape pole sana watanzania wezangu wepenzi wa tasnia ya filamu nchini kumpoteza msanii wa nguli wa filamu Juma Kilowoko almaarufu kama SAJUKI!japokuwa kifo ni kazi ya mungu lkn hata binadam wanaweza kusabibisha kwa namna moja au nyingine kwa mfano kwa kumpa sumu,kumpiga kumgonga na gari nk.Na pia si utamaduni mzuri kutupiana lawama baada ya kutokea kifo cha mpendwa au wapendwa wetu!Kuna habari zisizo rasmi zinazosema bongo moves waliharibu tamasha la marehemu aliloandaa huko Arusha kwaajili ya kukusanya fedha za mtatibabu yake nchini India!naasikia baada ya kupata taarifa hz ndipo alipopata mshtuko na kuanguka chini na kuzidiwa mpk kupelekwa dsm!Lkn pia bongo moves haohao walishindwa kushughulikia kwa haraka kupeleka barua ikulu ili wapatiwe msaada wa kumpeleka sajuki nchini India!kwa kuwa Jk alishakubali kugharamia
matibabu ya sajuki ila ilihitajika tu barua kwenda ikulu.lkn swali la kujiuliza hapa kwa nini Ikulu walihitaji barua wakati hali ya mgonjwa ilashaanza kuwa mbaya au ndo itifaki lzm izingatiwe?Pengine Sajuki angewahishwa kupelekwa India labda kifo chake kisingeweza kutokea. Najua tutayasikia mengi sana baada ya kifo cha msanii huyu lkn yote kwa yote ni kwamba Sajuki ametutangulia mbele za haki ila kifo chake kiwe ni funzo kubwa kwa wasanii wa tanzania,najua saivi watakuwa bize madukani kutafuta suti,miwani nyeusi,madira ya gharama kubwa kwa ajili ya kwenda kuuzia sura kwenye msiba na wengine watakuwa wapo saloon wakifanya scrabing na make up ili watokelezee kwe maTV!MWISHO NITOE POLE ZA DHATI KBS KWA MKE WA MAREHEMU SAJUKI WASTARA KWA KUPIGANIA MAISHA YA MUMEWE MPK DAKIKA YA MWISHO BILA KUCHOKA TENA KWA UJASIRI MKUBWA!MWENYEMUNGU AMJALIE MOYO WA SUBIRA NA AMPE NGUVU KTK KIPINDI HIKI KIGUMU ANACHOPITIA KTK MAISHA YAKE!Mwenyezimungu ailaze roho ya marehemu SAJUKI mahali pema peponi AMEN
slaa alimchangia elfu ngapi?
Alitakiwa achangie?slaa alimchangia elfu ngapi?
JK ana kazi kubwa sana
zaidi ya hao wanaojulikana na kuomba msaada ikulu,alishapelekwa india na
ikaonekana walimuongezea muda tu anachoumwa kilishafikia mwisho maana
walichelewa!sioni sababu kulaumiana wala kutupiana maneno...RiP
Sajuki
labda hapo kwenye red anamaanisha haka kauzi huwezi jua!Anayeweza kuokoa maisha ya binadamu ni Mungu pekee.
Huu Si wakati wa kumlaumu mtu.Hata ukilaumu ukweli ni kwamba hatunaye tena Sajuki (RIP).Kuwa mstaarabu.
Katika kuchangia mjadala leo asubuhi ktk kipindi cha TUONGEE ASUBUHI...
Mzee huyu ambaye ni kada maarufu wa CCM amesema Rais Kikwete ni kama Mungu anayemiliki Mbingu na Ardhi ya Tanzania!
vipi, hujasoma uzi mmoja uko hapa jf ambao mzee mmoja anasema 'jk ni mungu'? Ngoja niutafute nikuwekee
Hivi wewe unamjua Kikwete kweli au unatania?
He is very selective in helping the people.
Was Sajuki a female or male?
Kwani Sajuki alikuwa ni 'Role Model' wa Kikwete?
*Kwa ninavyomjua Kikwete kwa unafiki na kupenda kujipendekeza atatuma salamu za Rambirambi chapchap na huenda akawepo kwenye mazishi.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-anamiliki-mbingu-na-ardhi-5.html#post5331844du h naomba nami nisome huo usi kwa makini inawezekana huyo mze alibonga kinyume "jk ni MUNGU? wa wajaluo au? Sijadhau wajaluo hila nchi kenya wajaluo walikua na MUNGU wao hadi alipokufa wakamzika then wakaenda kufukua na kutorosha maiti ili waseme kafufuka bahati mbaya wakadabwa .
Wewe binafsi ulisaidia nini? Kama hukufanya chochote umeshachelewa basi kaa kimya
Hivi wewe unamjua Kikwete kweli au unatania?
He is very selective in helping the people.
Was Sajuki a female or male?
Kwani Sajuki alikuwa ni 'Role Model' wa Kikwete?
*Kwa ninavyomjua Kikwete kwa unafiki na kupenda kujipendekeza atatuma salamu za Rambirambi chapchap na huenda akawepo kwenye mazishi.