Jk,bongo movie wangeweza kuokoa maisha ya SAJUKI

Mungu alitoa na mungu ametwaa,jina lake lihudumie .
 
JK anaisaidia sana mtu mmoja mmoja na ndio maana umeliona hilo, kumsaidia mtu hiyo ni hiari ya mtu kakini tuache kulaumu tu bila kuwa na uhakika na tunachokisema, hakuna haja yoyote yakutangaza eti umemsaidia mtu kitu fulani, hata Rayc ilijulikana baada ya yeyw mwenyewe kwenda kumshukuru na kwa taarifa nilizosoma JK alikuwa tayari kugharamia matibabu huko india hivyo hata hao Bongo movie huwezi jua wamemsaidiaje.
 
Vengu ni mwanamke?

cha kujiuliza je sajuki alimpigia jk kampeni yoyote ile?
pengine angekuwa katika fikira za jamaa kumsaidia.
kama si mwanamke ili usaidiwe lazima uwe umeshawahi kumsaidia ili kurudishiwa fadhila.
 
Lkn pia bongo moves haohao walishindwa kushughulikia kwa haraka kupeleka barua ikulu ili wapatiwe msaada wa kumpeleka sajuki nchini India!kwa kuwa Jk alishakubali kugharamia
matibabu ya sajuki ila ilihitajika tu barua kwenda ikulu

Mimi nasikitika wataz tunaposhangilia/ kufurahi tunaposikia JK na ikulu yake kugharamia matibabu ya mtu mmoja mmoja kwenda matibabu india. Badala ya JK na Ikulu yake kuhakikisha standard ya matibabu na hospitali zetu zinaimalika kama zile za india iliwatz wote wenyemahitaji ya matibabu watibiwe hapahapa.
 

Upo sawa mkuu tujipange wenyewe hivi hawa wasanii hawajapata somo hadi leo msaada wa JK ni wake kama hakutaka basi hakuna sheria ya kumuongoza ni mapenzi yake tu hastahili lawama hizi msaada hauna kipimo. Acheni lawama za stahili hii JK hausiki hata.
 
Mimi nimewaelewe sana ila tuache kujadili hilo kwa sasa Sajuki tayari kafa, kuna mdada anaishi na mabomu mwilini yule anasaidiwaje au ndio mwendo wa kuwasaidi MATEJA tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…