Jk,bongo movie wangeweza kuokoa maisha ya SAJUKI

Jk,bongo movie wangeweza kuokoa maisha ya SAJUKI

JK anaisaidia sana mtu mmoja mmoja na ndio maana umeliona hilo, kumsaidia mtu hiyo ni hiari ya mtu kakini tuache kulaumu tu bila kuwa na uhakika na tunachokisema, hakuna haja yoyote yakutangaza eti umemsaidia mtu kitu fulani, hata Rayc ilijulikana baada ya yeyw mwenyewe kwenda kumshukuru na kwa taarifa nilizosoma JK alikuwa tayari kugharamia matibabu huko india hivyo hata hao Bongo movie huwezi jua wamemsaidiaje.
 
Vengu ni mwanamke?

cha kujiuliza je sajuki alimpigia jk kampeni yoyote ile?
pengine angekuwa katika fikira za jamaa kumsaidia.
kama si mwanamke ili usaidiwe lazima uwe umeshawahi kumsaidia ili kurudishiwa fadhila.
 
Lkn pia bongo moves haohao walishindwa kushughulikia kwa haraka kupeleka barua ikulu ili wapatiwe msaada wa kumpeleka sajuki nchini India!kwa kuwa Jk alishakubali kugharamia
matibabu ya sajuki ila ilihitajika tu barua kwenda ikulu

Mimi nasikitika wataz tunaposhangilia/ kufurahi tunaposikia JK na ikulu yake kugharamia matibabu ya mtu mmoja mmoja kwenda matibabu india. Badala ya JK na Ikulu yake kuhakikisha standard ya matibabu na hospitali zetu zinaimalika kama zile za india iliwatz wote wenyemahitaji ya matibabu watibiwe hapahapa.
 
si kazi ya kikwete wala ikulu kusaidia mtu mmoja mmoja na wala si kazi ya kikwete wala ikuli kusaidia bongo movie ikitokea shukuru kwa msaada walioutoa ingekuwa hivyo basi hata mimi kuna ndugu zangu wanaumwa sana ngoja tuwaandikie barua ikulu watusaidie matibabu.
Kwa hiyo ikulu na kikwete wasilaumiwe kwa hili watz acheni habari za kimajungu majungu hii kazi si ya ikulu wala kikwete au kwakuwa ameshiriki mara kadhaa kwenye mambo ya bongo movie sa limegeuzwa kuwa jukumu lake.
Kumbe mkapa was right hakushiriki kwa lolote kwenye haya mambo ya kisanii so hakuna wa kumlaumu.

Upo sawa mkuu tujipange wenyewe hivi hawa wasanii hawajapata somo hadi leo msaada wa JK ni wake kama hakutaka basi hakuna sheria ya kumuongoza ni mapenzi yake tu hastahili lawama hizi msaada hauna kipimo. Acheni lawama za stahili hii JK hausiki hata.
 
Mimi nimewaelewe sana ila tuache kujadili hilo kwa sasa Sajuki tayari kafa, kuna mdada anaishi na mabomu mwilini yule anasaidiwaje au ndio mwendo wa kuwasaidi MATEJA tu!
 
Back
Top Bottom