JK hakwepi lawama kwa jinsi CCM ilivyogeuka kikundi cha watu wachache badala ya kuwa chama cha mamilioni ya wanachama

Amewaua anaodai wachawi ili atimize azma zake na familia yake
 
Kuna ile mijinga inayochukua degree kule jalalani eti inataka kuandamana kupongeza kuteuliwa, kweli mijinga haiishi
 
JK anahitaji pongezi lawama ya Nini. Wenye chama Chao wanapongeza uamuzi wa mkutano mkuu we Nani kuja kubwabwaja humu?
 
Niliandika Humu Kuwa JK Historia itamhukumu kwa Kilichofanyika Dodoma, Mchakato huu umekuwa wa haraka sana Kiasi kwamba Ni kama Kikundi cha watu wachache wamefanya Decision Bila Consultation au Consent ya wanachama, Nchi hii ni ya kwetu sote na Linapo Kuja swala la maamuzi Ni vyema sana pakawa na Inclusion ya Makundi yote.
Uwepo wa SSH mpaka 2030 haulindi tu Interest za JK bali utalinda Legacy na Kumfanya aendelee Kuwa active politician till that time
It's very simple mzee bado anataka Power ndio mana ni wish yake kuona Inner circle yake wana Hold Power tena kwenye zile key Positions
 

Chama kimeporwa kutoka kwa wanachama na sasa kimegeuka cha watu wawili watatu.
 
JK wakati wa Chuma alikonda kwelikweli , siku hizi kanenepa.

Hizi raha ktk awamu hii kazipata wapi ambazo kipindi cha JPM hakuwa nazo.

Au kwenye awamu hii mambo yake yamemnyookea?
 
Kwa kiasi fulani uko sahihi mkuu. Nasema kwa kiasi fulani kwa sababu mimi kila siku huwa nasema mzizi wa haya yote ni Benjameni Mkapa. Mkapa alikuwa blackmailed na kukubali kumwacha Kikwete na Lowassa wachukuwe nchi kwa kutumia fedha. Lilikuwa ni jukumu la Mkapa kuondoa majina yao yote kwenye kinyang'anyiro cha ugombea wa urais. Mbona Kikwete aliweza kumdhibiti Lowassa japo alikuwa na mtandao mkubwa? Mbona Nyerere aliweza kumdhibiti Malechela alipoona anautaka urais kwa udi na uvumba?
 
Duuh
 
JK wakati wa Chuma alikonda kwelikweli , siku hizi kanenepa.

Hizi raha ktk awamu hii kazipata wapi ambazo kipindi cha JPM hakuwa nazo.

Je ndiyo maana anashiriki kubariki uhuni uliofanyika DODOMA kwa sababu Malkia wa nyuki kamnyooshea mambo yake?
Kipindi cha Magufuli ilikuwa chupuchupu akamatwe na kuwekwa ndani.
 
JK wakati wa Chuma alikonda kwelikweli , siku hizi kanenepa.

Hizi raha ktk awamu hii kazipata wapi ambazo kipindi cha JPM hakuwa nazo.

Je ndiyo maana anashiriki kubariki uhuni uliofanyika DODOMA kwa sababu Malkia wa nyuki kamnyooshea mambo yake?
Sisi ni binadamu pengine alikuwa anaumwa. Sasa kapona
 
We ndio bwege, ht huoni kwenye TVs wanachama kutoka mikoa mbalimbali wanapongeza maamuzi ya mkutano mkuu
We kiazi kweli kwa mtu anayejitambua kuna cha kupongeza pale, yaani mtu wa miaka 74 aombe kustaafu halafu umteue wa miaka 80 upo serious kweli? Umpitishe mgombea urais kabla ya muda na bila kufuata kanuni za chama halafu unaenda barabarani kuandamana kupongeza? Huo muda si ungeenda shambani kulima kama huna shamba kacheze bao.

Hampo serious ccm nyie.
 
Mtajuana wenyewe bwana sisi wanyonge ngoja tuendelee kuuza Matikiti hapa Mbagala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…