JK hakwepi lawama kwa jinsi CCM ilivyogeuka kikundi cha watu wachache badala ya kuwa chama cha mamilioni ya wanachama

2. JK ANA UHUSIANO NA SIRI GANI NA SSH HADI KUIFIKISHA CCM HAPA?

Aliyewahi kuwa rais wa JMT hayati JPM aliwahi kusema kuwa SSH hakuwa chaguo lake mwaka 2015, bali chaguo lake lilikuwa ni HM. Akanena kuwa huyu SSH lilikuwa ni chaguo la wazee. Bila shaka hapa JK alihusika kumuwekea JPM huyu mama. Je kuna siri gani ya JK na huyu mama?. Huyu mama alikuwa na merit gani mwaka 2015 hadi afanywe kuwa mgombea mwenza?, alikuwa ameifanyia nini CCM na nchi hadi awe mgombea mwenza?. Hii mbeleko ya kisiasa ambayo huyu mama kabebwa nayo, bila kupita katika chujio lolote serious la kisiasa la kumps nafasi kubwa kulikoni?, ana nini, au usharika gani ns JK?.
Amewaua anaodai wachawi ili atimize azma zake na familia yake
 
Kuna ile mijinga inayochukua degree kule jalalani eti inataka kuandamana kupongeza kuteuliwa, kweli mijinga haiishi
 
Naam, hili wala halina ubishi. Katika watu ambao hawawezi kukwepa lawama katika kuvuruga chama cha Mapinduzi na hatimaye kuiweka nchi katika sintofahamu na kupelekea nchi kukosa muelekeo ni huyu JK.

1. BIFU LAKE BINAFSI NA EL LILIVURUGA CCM.

Kila mtu anakumbuka jinsi EL alivyokatwa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mgombea urais ndani ya chama mwaka 2015. EL alikatwa kihuni, yote hii ni kumfanyia mtima nyongo asiwe mgombea urais kupitia chama hicho. Kila mtu anakumbuka jinsi watu walivyomlalamikia kwa JK kuja na majina ya wagombea mfukoni, kiufupi kuna mambo yasiyo sahihi yalifanyika kwenye kupata wagombea. Tatizo ni kwamba, kila uhuni mmoja unapofanyika, unatengeneza precedence ya uhni mwingine kufanyika mbeleni. Yanayotokea CCM hii leo ya kupitisha wagombea urais wa JMT na ZNZB bila wagombea kujaza fomu ya kuomba kugombea, na bila kupata wadhamini kutoka mikoani, na bila kujadiliwa kwenye vikao vya kamati kuu ni kilele cha matunda ya kutoheshimu haki na kanuni za chama kwenye kupata wagombea na JK hawezi kukwepa lawama kuifikisha CCM hapa.

2. JK ANA UHUSIANO NA SIRI GANI NA SSH HADI KUIFIKISHA CCM HAPA?

Aliyewahi kuwa rais wa JMT hayati JPM aliwahi kusema kuwa SSH hakuwa chaguo lake mwaka 2015, bali chaguo lake lilikuwa ni HM. Akanena kuwa huyu SSH lilikuwa ni chaguo la wazee. Bila shaka hapa JK alihusika kumuwekea JPM huyu mama. Je kuna siri gani ya JK na huyu mama?. Huyu mama alikuwa na merit gani mwaka 2015 hadi afanywe kuwa mgombea mwenza?, alikuwa ameifanyia nini CCM na nchi hadi awe mgombea mwenza?. Hii mbeleko ya kisiasa ambayo huyu mama kabebwa nayo, bila kupita katika chujio lolote serious la kisiasa la kumps nafasi kubwa kulikoni?, ana nini, au usharika gani ns JK?.

3. JK KUSHIRIKI KUMTANGAZA MGOMBEA URAISI KABLA HATA HAJACHUKUA FOMU NI AIBU YA KARNE.

Hii ni aibu kubwa sana kwa mtu aliyewahi kuwa rais, mgombea urais mara kadhaa na mwenyekiti wa chama. Unawezaje kukukubali kubariki na kuwa mnadi mkuu wa uhuni uliofanyika hapo DODOMA?. JK hebu akae chini na ajiulize. Hofu ya kukimbiza mchakato wa uteuzi wa wagombea ni nini. Kama HM hapendwi si uwaache wana CCM waweke mtu mwingine kwani shida ni nini?. Kama kuna watu wanataka kumchallenge SSH si uwaache wamchallenge kwani wewe JK una maslahi gani na SSH au HM hadi ushiriki siasa za "Njama", za "nyuma ya pazia", "siasa za gizani". Au kwa sababu SSH ameendeleza kulinda maslahi yako manono na pia akaenda mbele hadi kupitosha sheria ya kumlipa mkewe mahela mengi kama vile mkewe alivyosuggest?. Je analipa fadhila?.

4. CCM KUPOTEZA USHAWISHI KWA UMMA NA KUGEUKA CHAMA CHA POLISI NA USALAMA.

JK anajua, viongozi wa juu wa CCM wanajua kuwa bila polisi na usalama wa Taifa CCM haiwezi kusimama man to man na upinzani nchini ktk chaguzi. Na hii tabia ya kutegemea polisi na usalama ilifumbiwa macho na JK na viongozi wenzie waliotangualia. Kwa kuwa CCM haitegemei ushawishi wa wanachama wala wananchi, wanategenea vyombo vya dola viwape kile wanachokitaka kwa wananchi lakini hawawezi kukipata kwa ridhaa zao. Ndiyo maana wanamlinda HM kwa sababu aliingizwa pale ZNZB kibabe. Na hii michezo hii ya kupora haki za wananchi kuchagua imegeuka na kuwa kama aliyezoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi. Leo hii wanachama wa CCM hawana thamani kivile mbele ya kundi dogo la wafanya maamuzi ndani ya CCM kwa sababu hilo kundi dogo linajua lina Polisi na Usalama, wataweka mbo sawa!

5. NAMKUMBUSHA JK KUWA MICHEZO YA KISIASA AKILI NYINGI MBELE GIZA.

Mwaka 2015 alimfanyia figisu EL, akaja na wagombea wa mfukoni. Matokeo yake Chuma kikapenya na kuibuka katikati ya hilo zogo. Chuma kikatandika bakora kila mtu humu nchini, na huyo JK mwenyewe kwa mujibu wa kitabu cha Kabendera alikuwa halali usingizi vizuri, maana chuma kilikuwa kinamvutia rada. Sasa hii hali ya kukwepa haki na kuweka mbele maslahi binafsi na kuleta ujanja ujanja kwenye mambo yanayohitaji utaratibu matokeo yake yanaweza kuwa yasiyodhamiriwa. Awe makini anaweza kuwa anataka aendelee kuonekana ni KING MAKER au MAESTRO wa Kisiasa kumbe anakiumiza chama na anaiumiza nchi na kujivunjia heshima.
JK anahitaji pongezi lawama ya Nini. Wenye chama Chao wanapongeza uamuzi wa mkutano mkuu we Nani kuja kubwabwaja humu?
 
Niliandika Humu Kuwa JK Historia itamhukumu kwa Kilichofanyika Dodoma, Mchakato huu umekuwa wa haraka sana Kiasi kwamba Ni kama Kikundi cha watu wachache wamefanya Decision Bila Consultation au Consent ya wanachama, Nchi hii ni ya kwetu sote na Linapo Kuja swala la maamuzi Ni vyema sana pakawa na Inclusion ya Makundi yote.
Uwepo wa SSH mpaka 2030 haulindi tu Interest za JK bali utalinda Legacy na Kumfanya aendelee Kuwa active politician till that time
It's very simple mzee bado anataka Power ndio mana ni wish yake kuona Inner circle yake wana Hold Power tena kwenye zile key Positions
 
Chama kimeporwa kutoka kwa wanachama na sasa kimegeuka cha watu wawili watatu.
 
JK wakati wa Chuma alikonda kwelikweli , siku hizi kanenepa.

Hizi raha ktk awamu hii kazipata wapi ambazo kipindi cha JPM hakuwa nazo.

Au kwenye awamu hii mambo yake yamemnyookea?
 
Kwa kiasi fulani uko sahihi mkuu. Nasema kwa kiasi fulani kwa sababu mimi kila siku huwa nasema mzizi wa haya yote ni Benjameni Mkapa. Mkapa alikuwa blackmailed na kukubali kumwacha Kikwete na Lowassa wachukuwe nchi kwa kutumia fedha. Lilikuwa ni jukumu la Mkapa kuondoa majina yao yote kwenye kinyang'anyiro cha ugombea wa urais. Mbona Kikwete aliweza kumdhibiti Lowassa japo alikuwa na mtandao mkubwa? Mbona Nyerere aliweza kumdhibiti Malechela alipoona anautaka urais kwa udi na uvumba?
 
Naam, hili wala halina ubishi. Katika watu ambao hawawezi kukwepa lawama katika kuvuruga chama cha Mapinduzi na hatimaye kuiweka nchi katika sintofahamu na kupelekea nchi kukosa muelekeo ni huyu JK.

1. BIFU LAKE BINAFSI NA EL LILIVURUGA CCM.

Kila mtu anakumbuka jinsi EL alivyokatwa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mgombea urais ndani ya chama mwaka 2015. EL alikatwa kihuni, yote hii ni kumfanyia mtima nyongo asiwe mgombea urais kupitia chama hicho. Kila mtu anakumbuka jinsi watu walivyomlalamikia kwa JK kuja na majina ya wagombea mfukoni, kiufupi kuna mambo yasiyo sahihi yalifanyika kwenye kupata wagombea. Tatizo ni kwamba, kila uhuni mmoja unapofanyika, unatengeneza precedence ya uhni mwingine kufanyika mbeleni. Yanayotokea CCM hii leo ya kupitisha wagombea urais wa JMT na ZNZB bila wagombea kujaza fomu ya kuomba kugombea, na bila kupata wadhamini kutoka mikoani, na bila kujadiliwa kwenye vikao vya kamati kuu ni kilele cha matunda ya kutoheshimu haki na kanuni za chama kwenye kupata wagombea na JK hawezi kukwepa lawama kuifikisha CCM hapa.

2. JK ANA UHUSIANO NA SIRI GANI NA SSH HADI KUIFIKISHA CCM HAPA?

Aliyewahi kuwa rais wa JMT hayati JPM aliwahi kusema kuwa SSH hakuwa chaguo lake mwaka 2015, bali chaguo lake lilikuwa ni HM. Akanena kuwa huyu SSH lilikuwa ni chaguo la wazee. Bila shaka hapa JK alihusika kumuwekea JPM huyu mama. Je kuna siri gani ya JK na huyu mama?. Huyu mama alikuwa na merit gani mwaka 2015 hadi afanywe kuwa mgombea mwenza?, alikuwa ameifanyia nini CCM na nchi hadi awe mgombea mwenza?. Hii mbeleko ya kisiasa ambayo huyu mama kabebwa nayo, bila kupita katika chujio lolote serious la kisiasa la kumps nafasi kubwa kulikoni?, ana nini, au usharika gani ns JK?.

3. JK KUSHIRIKI KUMTANGAZA MGOMBEA URAISI KABLA HATA HAJACHUKUA FOMU NI AIBU YA KARNE.

Hii ni aibu kubwa sana kwa mtu aliyewahi kuwa rais, mgombea urais mara kadhaa na mwenyekiti wa chama. Unawezaje kukukubali kubariki na kuwa mnadi mkuu wa uhuni uliofanyika hapo DODOMA?. JK hebu akae chini na ajiulize. Hofu ya kukimbiza mchakato wa uteuzi wa wagombea ni nini. Kama HM hapendwi si uwaache wana CCM waweke mtu mwingine kwani shida ni nini?. Kama kuna watu wanataka kumchallenge SSH si uwaache wamchallenge kwani wewe JK una maslahi gani na SSH au HM hadi ushiriki siasa za "Njama", za "nyuma ya pazia", "siasa za gizani". Au kwa sababu SSH ameendeleza kulinda maslahi yako manono na pia akaenda mbele hadi kupitosha sheria ya kumlipa mkewe mahela mengi kama vile mkewe alivyosuggest?. Je analipa fadhila?.

4. CCM KUPOTEZA USHAWISHI KWA UMMA NA KUGEUKA CHAMA CHA POLISI NA USALAMA.

JK anajua, viongozi wa juu wa CCM wanajua kuwa bila polisi na usalama wa Taifa CCM haiwezi kusimama man to man na upinzani nchini ktk chaguzi. Na hii tabia ya kutegemea polisi na usalama ilifumbiwa macho na JK na viongozi wenzie waliotangualia. Kwa kuwa CCM haitegemei ushawishi wa wanachama wala wananchi, wanategenea vyombo vya dola viwape kile wanachokitaka kwa wananchi lakini hawawezi kukipata kwa ridhaa zao. Ndiyo maana wanamlinda HM kwa sababu aliingizwa pale ZNZB kibabe. Na hii michezo hii ya kupora haki za wananchi kuchagua imegeuka na kuwa kama aliyezoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi. Leo hii wanachama wa CCM hawana thamani kivile mbele ya kundi dogo la wafanya maamuzi ndani ya CCM kwa sababu hilo kundi dogo linajua lina Polisi na Usalama, wataweka mbo sawa!

5. NAMKUMBUSHA JK KUWA MICHEZO YA KISIASA AKILI NYINGI MBELE GIZA.

Mwaka 2015 alimfanyia figisu EL, akaja na wagombea wa mfukoni. Matokeo yake Chuma kikapenya na kuibuka katikati ya hilo zogo. Chuma kikatandika bakora kila mtu humu nchini, na huyo JK mwenyewe kwa mujibu wa kitabu cha Kabendera alikuwa halali usingizi vizuri, maana chuma kilikuwa kinamvutia rada. Sasa hii hali ya kukwepa haki na kuweka mbele maslahi binafsi na kuleta ujanja ujanja kwenye mambo yanayohitaji utaratibu matokeo yake yanaweza kuwa yasiyodhamiriwa. Awe makini anaweza kuwa anataka aendelee kuonekana ni KING MAKER au MAESTRO wa Kisiasa kumbe anakiumiza chama na anaiumiza nchi na kujivunjia heshima.
Duuh
 
JK wakati wa Chuma alikonda kwelikweli , siku hizi kanenepa.

Hizi raha ktk awamu hii kazipata wapi ambazo kipindi cha JPM hakuwa nazo.

Je ndiyo maana anashiriki kubariki uhuni uliofanyika DODOMA kwa sababu Malkia wa nyuki kamnyooshea mambo yake?
Kipindi cha Magufuli ilikuwa chupuchupu akamatwe na kuwekwa ndani.
 
JK wakati wa Chuma alikonda kwelikweli , siku hizi kanenepa.

Hizi raha ktk awamu hii kazipata wapi ambazo kipindi cha JPM hakuwa nazo.

Je ndiyo maana anashiriki kubariki uhuni uliofanyika DODOMA kwa sababu Malkia wa nyuki kamnyooshea mambo yake?
Sisi ni binadamu pengine alikuwa anaumwa. Sasa kapona
 
We ndio bwege, ht huoni kwenye TVs wanachama kutoka mikoa mbalimbali wanapongeza maamuzi ya mkutano mkuu
We kiazi kweli kwa mtu anayejitambua kuna cha kupongeza pale, yaani mtu wa miaka 74 aombe kustaafu halafu umteue wa miaka 80 upo serious kweli? Umpitishe mgombea urais kabla ya muda na bila kufuata kanuni za chama halafu unaenda barabarani kuandamana kupongeza? Huo muda si ungeenda shambani kulima kama huna shamba kacheze bao.

Hampo serious ccm nyie.
 
Niliandika Humu Kuwa JK Historia itamhukumu kwa Kilichofanyika Dodoma, Mchakato huu umekuwa wa haraka sana Kiasi kwamba Ni kama Kikundi cha watu wachache wamefanya Decision Bila Consultation au Consent ya wanachama, Nchi hii ni ya kwetu sote na Linapo Kuja swala la maamuzi Ni vyema sana pakawa na Inclusion ya Makundi yote.
Uwepo wa SSH mpaka 2030 haulindi tu Interest za JK bali utalinda Legacy na Kumfanya aendelee Kuwa active politician till that time
It's very simple mzee bado anataka Power ndio mana ni wish yake kuona Inner circle yake wana Hold Power tena kwenye zile key Positions
Mtajuana wenyewe bwana sisi wanyonge ngoja tuendelee kuuza Matikiti hapa Mbagala
 
Back
Top Bottom