Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni kweli basi ajiuzulu sasa,apumzike.Wadau,tafadhalini sana kwa yeyote anayefuatilia kampeni za CCM Mwanza,kuna habari zimeanza kusambaa kwamba JK kaanguka tena.... tafadhali sana kama kuna anayefuatilia na akiwa na uhakika,atujulishe tulio mbali...
Jk hajaanguka HIZI NI TETESI, NI MZIMA WA AFYA
Jk hajaanguka HIZI NI TETESI, NI MZIMA WA AFYA
mbona hii wbsite haina hata habari ya kuanguka Jangwani??
Hiyo website kwenye kitufe cha "ratiba ya kampeni" hakuna kitu zaidi ya kalenda ya kawaida,pia website nzima hakuna habari mpya au picha,sasa unaposema habari zaidi tuende huko habari zipi hizo au ndio kuhalalisha bilioni 50?HABARI ZAIDI ZINAPATIKANA KATIKA LINK HII... Kikwete 2010 | Pamoja Tuzidi Kusonga Mbele