Elections 2010 JK kaanguka tena Mwanza?

Elections 2010 JK kaanguka tena Mwanza?

Status
Not open for further replies.

Mdau

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2008
Posts
1,789
Reaction score
473
Wadau,tafadhalini sana kwa yeyote anayefuatilia kampeni za CCM Mwanza,kuna habari zimeanza kusambaa kwamba JK kaanguka tena.... tafadhali sana kama kuna anayefuatilia na akiwa na uhakika,atujulishe tulio mbali...
 
Kama ni kweli basi ajiuzulu sasa,apumzike.
Kama ningekuwa yeye ningeshajiuzulu hadi sasa,mashaka mengi kiasi hiki hayafai kwa mkuu wa nchi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom