Ilo liwekwe kwa jk na kikwete nao ni wanafiki ndiyo maana unakuwa ivyoWa Tz ni wanafiki enzi za utawala wa Magufuli walikua wanamchukia Magu na wanampenda kikwete, Magu kadanja sahivi wanajidai wamemmiss na kumchukia kikwete ngoja na huyu maza aondoke ushuhudie unafiki wao.
Wa Tz ni wanafiki wakubwa siyo watu wa kuwawekea dhamana watakusaliti kama walivyomsaliti ,Mbowe, Mdude, Soka, Polepole na hata Lissu
Kipindi cha Kikwete alikua anang'ata na kupuliza. Dr Ulimboka aling'olewa kucha kipindi cha JKBado ninamshangaa!
I'm speechless
Au hasira za magu kukata mirija?
Mkuu EMPTY Container don't be empty headed!Ukiwa haumjui Adui yako wa kweli utakuwa unamshambulia kila unayemuona anakukosoa au kukupa changamoto .
Kikwete amekuwa rais 2005-2015 nafikiri hakuna kipindi amabacho upinzani umekua na Kama kipindi chake.
Na alikuwa na uwezo mkubwa wa kuua huo upinzani usikue wala kufika popote Kama alivyofanya JPM .
Adui wa watanzania ni UJINGA wao wenyewe .
Nina uhakika 100% hata SSH akitoka madarakani akaja TAL bado kuna watu watalalamika kuwa bora SSH.
Hawa watanzania hawajui nini wanahitaji kwahiyo ni mtu mjinga pekee atakubali Ku-risk maisha yake kuwapambania .
Namuonea Sana huruma TAL .
Leo tumebaki kusikiliza tabiri za manabii na key body worries .
Good analysis.Nchi hii imewahi kuwa na makundi makuu mawili ya watu waliopendwa sana na Watanzania, Nyerere, JK na Magufuli. kundi la pili ni la Mrema na Lowasa.
Nyerere alipendwa sana sababu ya kupigania uhuru, kutumia vipawa vyake vya akili na uongozi kwa ajili yao. Huyu alifanya makosa kadhaa ya kiuongozi, na hata mwishoni mwa utawala wake wake hali ya maisha ilikuwa ni ngumu sana, lakini wananchi walimfeel kuwa huyu anapambana kwa ajili yao, walimpenda hivyohivyo na kumheshimu sana.
JK yeye ana sifa nyingi sana za ubinadamu,ni mcheshi, siyo arrogant, anajua urafiki kama wewe ni rafiki yake, siyo katili. Hizi sifa ziliwafanya Watanzania wampende. Tatizo lake kuu ni kuwa amekuwa highly irresponsible kwenye mambo makuu ya msingi ya Taifa. Kwa mfano, kwa nini baada ya kutumia mabilioni ya kodi ya wananchi kwa ajili ya katiba mpya aliuacha huo mchakato hewani unaelea?. Kwa nini anashiriki kubaka taratibu za chama cha mapinduzi katika kupata uongozi wa nchi?, Kwa nini anaiacha familia yake ionekane ya kilafi?, mke mbunge, mtoto waziri, na mke anapeleka bungeni hoja za wake wa viongozi walipwe mshahara, what a disgrace!.
Sasa katika vitu vilivyowafanya wananchi wawe na hasira kali ni mambo kama haya, mtu badala atambue kuwa yeye amewahikuwa rais wa nchi hii, na anaangaliwa na Taifa kama statesman yeye anaonelea awe "Kingmaker" ndani ya CCM, aendelee kuwa relevant kwa walioko madarakani yaani kiufupi anajihisi comfortable kuwa CHAWA PRO MAX wa mtu aliyekalia kiti badala ya kuangalia future ya Taifa. Hili limekuwa chukizo kubwa kwa wananchi.
Mtu aliyeko karibu na JK amwambie tu, kuwa yeye kimaumbile is a good guy. Aaachane na hizi cheap endeavors za kutaka upendeza mbele za mtu aliyeko kwenye kiti, au kujaribu kutafuta influence ya hapa na pale za kuwa actor behind the scene. Asimame kama statesman, awe moral pillar wa nchi hii kama akina Jaji Warioba.
Mtu una mihela mingi uliyochuma tangu ukiwa kijana na marupurupu kibao ya pensheni, una mijumba kedekede, sasa unataka nini tena?.
Siyo unafiki. Mtu unalinganisha kilichopo na ulichowahi kukiona. Inawezekana kabisa ulichokiona zamani ulikiona kuwa kizuri lakini cha sasa ni kizuri au kibaya zaidi. Kwa hiyo kutoa mawazo mbadala ni kutokana tu na kulinganisha. Narudia tena: siyo unafiki.Wa Tz ni wanafiki enzi za utawala wa Magufuli walikua wanamchukia Magu na wanampenda kikwete, Magu kadanja sahivi wanajidai wamemmiss na kumchukia kikwete ngoja na huyu maza aondoke ushuhudie unafiki wao.
Wa Tz ni wanafiki wakubwa siyo watu wa kuwawekea dhamana watakusaliti kama walivyomsaliti ,Mbowe, Mdude, Soka, Polepole na hata Lissu
Zanzibar mwaka 2015 Maalim Seif alishinda urais na hakutangazwa.Sitaki kuamini hilo mkuu. Yeye ndo the best aliyekuza democrasia kuliko maraisi wote Tanzania.
Wapinzani ndio walitengeneza hiyo image lakini kila mwenye akili alijua wanatumika. Kwa ufupi JPM ndio Rais pekee aliyependwa mno na wananchi akiwa madarakani pamoja na madhaifu yake.Wa Tz ni wanafiki enzi za utawala wa Magufuli walikua wanamchukia Magu na wanampenda kikwete, Magu kadanja sahivi wanajidai wamemmiss na kumchukia kikwete ngoja na huyu maza aondoke ushuhudie unafiki wao.
Wa Tz ni wanafiki wakubwa siyo watu wa kuwawekea dhamana watakusaliti kama walivyomsaliti ,Mbowe, Mdude, Soka, Polepole na hata Lissu
Mwangosi pia aliuwawa kipindi hichoMkuu EMPTY Container don't be empty headed!
Kipindi cha JK si ndo Absalumu Kibanda alitekwa na kubinywa kisawasawa?! na siyo huyo zipo cases kibao za watu kuteswa.
Kila utawala umeacha makovu kwa raia ila kwa Magu na Samia kutekana kumezidi sana.
Makamba, Nape, Kinana, Bashe kabla ya cheo, Nyalandu, Fatma Karume, Manji na Sumaye sio wapinzani.Wapinzani ndio walitengeneza hiyo image lakini kila mwenye akili alijua wanatumika. Kwa ufupi JPM ndio Rais pekee aliyependwa mno na wananchi akiwa madarakani pamoja na madhaifu yake.
Kuna Tofauti ndogo sana kati ya Samuel Doe na JK.Nchi hii imewahi kuwa na makundi makuu mawili ya watu waliopendwa sana na Watanzania, Nyerere, JK na Magufuli. kundi la pili ni la Mrema na Lowasa.
Nyerere alipendwa sana sababu ya kupigania uhuru, kutumia vipawa vyake vya akili na uongozi kwa ajili yao. Huyu alifanya makosa kadhaa ya kiuongozi, na hata mwishoni mwa utawala wake wake hali ya maisha ilikuwa ni ngumu sana, lakini wananchi walimfeel kuwa huyu anapambana kwa ajili yao, walimpenda hivyohivyo na kumheshimu sana.
JK yeye ana sifa nyingi sana za ubinadamu,ni mcheshi, siyo arrogant, anajua urafiki kama wewe ni rafiki yake, siyo katili. Hizi sifa ziliwafanya Watanzania wampende. Tatizo lake kuu ni kuwa amekuwa highly irresponsible kwenye mambo makuu ya msingi ya Taifa. Kwa mfano, kwa nini baada ya kutumia mabilioni ya kodi ya wananchi kwa ajili ya katiba mpya aliuacha huo mchakato hewani unaelea?. Kwa nini anashiriki kubaka taratibu za chama cha mapinduzi katika kupata uongozi wa nchi?, Kwa nini anaiacha familia yake ionekane ya kilafi?, mke mbunge, mtoto waziri, na mke anapeleka bungeni hoja za wake wa viongozi walipwe mshahara, what a disgrace!.
Sasa katika vitu vilivyowafanya wananchi wawe na hasira kali ni mambo kama haya, mtu badala atambue kuwa yeye amewahikuwa rais wa nchi hii, na anaangaliwa na Taifa kama statesman yeye anaonelea awe "Kingmaker" ndani ya CCM, aendelee kuwa relevant kwa walioko madarakani yaani kiufupi anajihisi comfortable kuwa CHAWA PRO MAX wa mtu aliyekalia kiti badala ya kuangalia future ya Taifa. Hili limekuwa chukizo kubwa kwa wananchi.
Mtu aliyeko karibu na JK amwambie tu, kuwa yeye kimaumbile is a good guy. Aaachane na hizi cheap endeavors za kutaka upendeza mbele za mtu aliyeko kwenye kiti, au kujaribu kutafuta influence ya hapa na pale za kuwa actor behind the scene. Asimame kama statesman, awe moral pillar wa nchi hii kama akina Jaji Warioba.
Mtu una mihela mingi uliyochuma tangu ukiwa kijana na marupurupu kibao ya pensheni, una mijumba kedekede, sasa unataka nini tena?.
Ni kweliKipindi cha Kikwete alikua anang'ata na kupuliza. Dr Ulimboka aling'olewa kucha kipindi cha JK
Jk amekuwa fisadi wa kunyongwa siku jeshi likichukua hatamu kulinda katiba.......Nchi hii imewahi kuwa na makundi makuu mawili ya watu waliopendwa sana na Watanzania, Nyerere, JK na Magufuli. kundi la pili ni la Mrema na Lowasa.
Nyerere alipendwa sana sababu ya kupigania uhuru, kutumia vipawa vyake vya akili na uongozi kwa ajili yao. Huyu alifanya makosa kadhaa ya kiuongozi, na hata mwishoni mwa utawala wake wake hali ya maisha ilikuwa ni ngumu sana, lakini wananchi walimfeel kuwa huyu anapambana kwa ajili yao, walimpenda hivyohivyo na kumheshimu sana.
JK yeye ana sifa nyingi sana za ubinadamu,ni mcheshi, siyo arrogant, anajua urafiki kama wewe ni rafiki yake, siyo katili. Hizi sifa ziliwafanya Watanzania wampende. Tatizo lake kuu ni kuwa amekuwa highly irresponsible kwenye mambo makuu ya msingi ya Taifa. Kwa mfano, kwa nini baada ya kutumia mabilioni ya kodi ya wananchi kwa ajili ya katiba mpya aliuacha huo mchakato hewani unaelea?. Kwa nini anashiriki kubaka taratibu za chama cha mapinduzi katika kupata uongozi wa nchi?, Kwa nini anaiacha familia yake ionekane ya kilafi?, mke mbunge, mtoto waziri, na mke anapeleka bungeni hoja za wake wa viongozi walipwe mshahara, what a disgrace!.
Sasa katika vitu vilivyowafanya wananchi wawe na hasira kali ni mambo kama haya, mtu badala atambue kuwa yeye amewahikuwa rais wa nchi hii, na anaangaliwa na Taifa kama statesman yeye anaonelea awe "Kingmaker" ndani ya CCM, aendelee kuwa relevant kwa walioko madarakani yaani kiufupi anajihisi comfortable kuwa CHAWA PRO MAX wa mtu aliyekalia kiti badala ya kuangalia future ya Taifa. Hili limekuwa chukizo kubwa kwa wananchi.
Mtu aliyeko karibu na JK amwambie tu, kuwa yeye kimaumbile is a good guy. Aaachane na hizi cheap endeavors za kutaka upendeza mbele za mtu aliyeko kwenye kiti, au kujaribu kutafuta influence ya hapa na pale za kuwa actor behind the scene. Asimame kama statesman, awe moral pillar wa nchi hii kama akina Jaji Warioba.
Mtu una mihela mingi uliyochuma tangu ukiwa kijana na marupurupu kibao ya pensheni, una mijumba kedekede, sasa unataka nini tena?.
Alimpora maalim Seif ushindi kupitia kwa JechaWakati wake hakufinya sana Demokrasia kama wenzake, Mungu ampe siha njema.