imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,235
- 98,463
Huku bara mambo yalikuwa bomba Wapinzani wengi waliingia mjengoni.Alimpora maalim Seif ushindi kupitia kwa Jecha
Huku bara mambo yalikuwa bomba Wapinzani wengi waliingia mjengoni.Alimpora maalim Seif ushindi kupitia kwa Jecha
well, tanzania ni bara na zanzibarHuku bara mambo yalikuwa bomba Wapinzani wengi waliingia mjengoni.
Umekula?Jk Bado ni kipenzi Cha watanzania, wanamchukia ni manyumbu wachache maskini wasiojua kiini Cha umaskini wao
Magu ndo Rais aliyependwa na watu wachapakazi ambao sio wababishaji wapiga diri wezi wauza madawa ya kulevya matapeli vyeti feki ndo kwenye matapeli ndo tunaweka wanasiasa wakina Mbowe na mtandao wakina zitto but Magu kawaulize wakandarasi watamwambia ulikua ukifanya kazi unapata pesa yako kwa wakatiWapinzani ndio walitengeneza hiyo image lakini kila mwenye akili alijua wanatumika. Kwa ufupi JPM ndio Rais pekee aliyependwa mno na wananchi akiwa madarakani pamoja na madhaifu yake.
Wazanzibari waliuwawa hata na Hayati Ben Mkapawell, tanzania ni bara na zanzibar
kwenye ajira alijitahidi sanaMasuala ya nchi sio demokrasia tu, ni pamoja na maendeleo, huduma Bora, kutokuwepo kwa ufisadi, rushwa n.k
Wakati JK rushwa na ufisadi vilitamalaki sana, umeme ulikuwa shida sana, ujenzi wa miundombinu ulikuwa hafifu, ajira nzuri zilikuwa kwa kujuana na vimemo.
Msiwafanye watu hawajui wanachokitaka(gaslighting)
Lakini kwa nature ya nchi yetu kati ya maraisi wote yeye angalau alifanya vizuri kwenye demokrasia.sina maana hakuwa na mapungufu..ebu linganisha na aliye mfuatia hali ya democrasia ilikuaje? Ndo maana sina hamu hata na huyo Pole pole,avune tu alicho kipanda..yeye na Magu walishirikiana kuua kabisa upinzani na kuuzika rasmi.Zanzibar mwaka 2015 Maalim Seif alishinda urais na hakutangazwa.
Reasoning capacity yako huwa ndogo sana.Wazanzibari waliuwawa hata na Hayati Ben Mkapa
Analinda maslahiHuyu JK mbona kipindi chake Demokrasia ilikua saana?? Sitaki kuamini kama anashiriki kuuwa demokrasia kwa sasa
Mengi umesema kweli lakini kwenye "eti sio katili" hapa naomba kuoingana na wewe JK ni mafia kishenzi umesahau alivyomng'oa meno na kucha Dr. Ulomboja, emesahai alivyowafunga familia mzima jela mpaka watoto wao kisa mwanamke ebo !! Inasemekana upon ushahidi wa kua alimuondoa Jiwe Utakua haumfaham vizuriNchi hii imewahi kuwa na makundi makuu mawili ya watu waliopendwa sana na Watanzania, Nyerere, JK na Magufuli. kundi la pili ni la Mrema na Lowasa.
Nyerere alipendwa sana sababu ya kupigania uhuru, kutumia vipawa vyake vya akili na uongozi kwa ajili yao. Huyu alifanya makosa kadhaa ya kiuongozi, na hata mwishoni mwa utawala wake wake hali ya maisha ilikuwa ni ngumu sana, lakini wananchi walimfeel kuwa huyu anapambana kwa ajili yao, walimpenda hivyohivyo na kumheshimu sana.
JK yeye ana sifa nyingi sana za ubinadamu,ni mcheshi, siyo arrogant, anajua urafiki kama wewe ni rafiki yake, siyo katili. Hizi sifa ziliwafanya Watanzania wampende. Tatizo lake kuu ni kuwa amekuwa highly irresponsible kwenye mambo makuu ya msingi ya Taifa. Kwa mfano, kwa nini baada ya kutumia mabilioni ya kodi ya wananchi kwa ajili ya katiba mpya aliuacha huo mchakato hewani unaelea?. Kwa nini anashiriki kubaka taratibu za chama cha mapinduzi katika kupata uongozi wa nchi?, Kwa nini anaiacha familia yake ionekane ya kilafi?, mke mbunge, mtoto waziri, na mke anapeleka bungeni hoja za wake wa viongozi walipwe mshahara, what a disgrace!.
Sasa katika vitu vilivyowafanya wananchi wawe na hasira kali ni mambo kama haya, mtu badala atambue kuwa yeye amewahikuwa rais wa nchi hii, na anaangaliwa na Taifa kama statesman yeye anaonelea awe "Kingmaker" ndani ya CCM, aendelee kuwa relevant kwa walioko madarakani yaani kiufupi anajihisi comfortable kuwa CHAWA PRO MAX wa mtu aliyekalia kiti badala ya kuangalia future ya Taifa. Hili limekuwa chukizo kubwa kwa wananchi.
Mtu aliyeko karibu na JK amwambie tu, kuwa yeye kimaumbile is a good guy. Aaachane na hizi cheap endeavors za kutaka upendeza mbele za mtu aliyeko kwenye kiti, au kujaribu kutafuta influence ya hapa na pale za kuwa actor behind the scene. Asimame kama statesman, awe moral pillar wa nchi hii kama akina Jaji Warioba.
Mtu una mihela mingi uliyochuma tangu ukiwa kijana na marupurupu kibao ya pensheni, una mijumba kedekede, sasa unataka nini tena?.
Ni kweli alimuumiza ulimboka. Ila comparatively ukilinganisha na JPM na huyu mama, anaonekana kama saint.Mengi umesema kweli lakini kwenye "eti sio katili" hapa naomba kuoingana na wewe JK ni mafia kishenzi umesahau alivyomng'oa meno na kucha Dr. Ulomboja, emesahai alivyowafunga familia mzima jela mpaka watoto wao kisa mwanamke ebo !! Inasemekana upon ushahidi wa kua alimuondoa Jiwe Utakua haumfaham vizuri
Huwezi kunilazimisha nimchukie Mzee Jakaya Kikwete.Reasoning capacity yako huwa ndogo sana.
Kwani nani kakulazimisha?.Huwezi kunilazimisha nimchukie Mzee Jakaya Kikwete.
Nimekataa kuendeshwa na Mange KimambiKwani nani kakulazimisha?.