JK kipenzi cha Watanzania aliyegeuka Chukizo mbele yao

Hiyo takataka siku ikikata kamba watu tutafanya sherehe.
 
Wapinzani ndio walitengeneza hiyo image lakini kila mwenye akili alijua wanatumika. Kwa ufupi JPM ndio Rais pekee aliyependwa mno na wananchi akiwa madarakani pamoja na madhaifu yake.
Magu ndo Rais aliyependwa na watu wachapakazi ambao sio wababishaji wapiga diri wezi wauza madawa ya kulevya matapeli vyeti feki ndo kwenye matapeli ndo tunaweka wanasiasa wakina Mbowe na mtandao wakina zitto but Magu kawaulize wakandarasi watamwambia ulikua ukifanya kazi unapata pesa yako kwa wakati
 
Huyu mzee ni kirusi kikubwa katika nchi hii, siku Mungu akimpenda nafikiri utakuwa ndio mwanzao wa taifa letu kupona
 
Wabongo ni watu wa ovyo sana, Kama kweli Kikwete alikuwa ni kipenzi chao basi ni uthibitisho zaidi ya upumbavu wa wabongo.

Na kwa kuengezea

Kikwete ndio raisi aliekutana na upinzani dhaifu zaidi hapa nchini, aliingia kipindi ambacho lipumba na Mrema wameshaka moto na CHadema ndio kwanza inaanza kujijenga. upinzani dhaifu ndio uliomfanya asiwe yupo under pressure sana tofauti na wenzake.

Genge lake waliigeuza nchi shamba la bibi, watu walikuwa wakijichotea tu.
 
kwenye ajira alijitahidi sana
Kwenye miundo mbinu, alijenga barabara nyingi za lami, wakati huo waziri wa ujenzi ni Magufuli
Pia ktk utawala wake zilijengwa shule nyingi za kata na vyuo vikuu
 
Zanzibar mwaka 2015 Maalim Seif alishinda urais na hakutangazwa.
Lakini kwa nature ya nchi yetu kati ya maraisi wote yeye angalau alifanya vizuri kwenye demokrasia.sina maana hakuwa na mapungufu..ebu linganisha na aliye mfuatia hali ya democrasia ilikuaje? Ndo maana sina hamu hata na huyo Pole pole,avune tu alicho kipanda..yeye na Magu walishirikiana kuua kabisa upinzani na kuuzika rasmi.
 
Utawala wa JK ulikuwa wa hovyo sana, sema kwa vile uono wetu ni hafifu na hatupendi kuchambua mambo kwa kina.
 
Mengi umesema kweli lakini kwenye "eti sio katili" hapa naomba kuoingana na wewe JK ni mafia kishenzi umesahau alivyomng'oa meno na kucha Dr. Ulomboja, emesahai alivyowafunga familia mzima jela mpaka watoto wao kisa mwanamke ebo !! Inasemekana upon ushahidi wa kua alimuondoa Jiwe Utakua haumfaham vizuri
 
Jk anaheka heka nyingi kweli sasahivi
 
Ni kweli alimuumiza ulimboka. Ila comparatively ukilinganisha na JPM na huyu mama, anaonekana kama saint.
JPM na huyu mama wanaumiza wapinzani waowa kisiasa. Ulimboka hakuwa mwanasiasa ila alikuwa kiongozi wa migomo ya madaktari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…