Kuna khabari kwamba JK anatarajiwa kufanya mabadiliko madogo kwenye baraza lake la mawaziri, na wanaotajwa tajwa sana huko kwenye mitaa ni waziri kijana ambaye inaonekana kashindwa kazi hasa baada ya kuvurunda kwenye mstakabali mzima wa vitambulisho vya uraia, na pia waziri wa utalii ambaye inasemekana haeleweki wala haelewi, maji yamemzidi. Wazee wa baraza hili naomba data
Whatever he does will be too little too late.
hata kama angefanya mabadiliko makubwaa who cares!? He is just a big loser.
Ni tetesi
- Kama ni kweli yapo Mabadiliko ni kwa sababu zipi?
- Kama leo ndio JK anajua kuwa mawaziri wake hawajui kazi, kwa zaidi ya mwaka tokea awapangue walikuwa wanaripoti nini kwake.
- Wanapokutana kwenye baraza la mawaziri, hapakuwa na 'milestones' ambazo alikuwa amewawekea ili kujua utendaji wao kwa haraka?
- Kama ni kweli wameshindwa kazi baada ya kukaa ofisini kwa muda mrefu kiasi hiki, kwa nini wasiondoke pamoja na supervisor wao, yaani J.M. Kikwete?
- Gharama za mabadiliko analipa nani?
hata kama angefanya mabadiliko makubwaa who cares!? He is just a big loser.
Wakati mwingine ukiwa msomaji mzuri wa JF utazani Tz inaundwa na JF tu, lakini ukiwa ndani ya Tz na kusikia sifa anazopata JK na jinsi CCM inavyotesa miongoni mwa wapiga kura utajiuliza uamini wako wa JF.
Nakubaliana na wewe Mkuu na bora tu atamke kwamba kwa maslahi ya nchi hatagombea tena 2010 ili tupate kiongozi mpya.
hata kama angefanya mabadiliko makubwaa who cares!? He is just a big loser.