TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Wadau naombeni kuuliza hivi huyu kijana OBAMA amewezaje??!!!
Hatuwezi kusema ameweza, ngoja miaka mitatu ijayo ndio tuseme!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau naombeni kuuliza hivi huyu kijana OBAMA amewezaje??!!!
Wakati mwingine ukiwa msomaji mzuri wa JF utazani Tz inaundwa na JF tu, lakini ukiwa ndani ya Tz na kusikia sifa anazopata JK na jinsi CCM inavyotesa miongoni mwa wapiga kura utajiuliza uamini wako wa JF.
Bia tamu za RG zinaboresha ubongoHuyo waziri kijana kwa sasa yuko kama boya tu, kazi zote zinafanywa na naibu wake, ni bora huyo kijana ajitoe mwenyewe ili ailinde heshima yake.