Ningekuwa na uwezo fulani hako kafimbo ningekavunja vunja na kukatupilia mbali. Next time litakuja gagulo la Malkia!

Hivi hiki kifimbo kina maana gani hasa??? kwamba wazee wetu walitawaliwa kwa viboko au??? Hata hii commonwealth sioni umuhimu wake ndio mana UTUMWA WA KIAKILI hauishi kwenye jamii yetu!Ningekuwa na uwezo fulani hako kafimbo ningekavunja vunja na kukatupilia mbali. Next time litakuja gagulo la Malkia!
ha ha ha ha ....