theodros
Member
- Aug 17, 2007
- 22
- 32
Kuna Tetesi kuwa Col.Mstaafu Abdulrahman Kinana na Naibu katibu Mkuu wa CCM Lt.Mstaafu Jaka Mwambi wana nafasi kubwa ktk Uongozi wa Juu wa CCM.Kinachostua zaidi wote ni Askari Wastaafu!,Naona nidhamu ya Jeshi inapandikizwa ndani ya chama cha Mapinduzi.
Mungu wangu, unamtoa makamba unamuweka Kinana..
Yule fisadi kuliko wote, unamtoa nbwa unamuungiza fisi kwenye bucha, lazima ale mpaka mawe ya mizani..Yaani ni sawa sawa unaruka mkojo unakanyaga maharisho...samahanini lakini hamna mtu shuwaini kama yule..uliza vituko alivyofanya wakati yupo wizara ya ulinzi
ama kweli nchi imepata viongozi..nawaonea huruma CCM.