Habari zenu wana jamvi,
Nasikitika sana wanafunzi vyuo vikuu mwaka huu kukosa mikopo haaswa mwaka wa 2,3 na 4.Wanafunzi hao hulalamika sana na kufikia hatua kwenda bodi ya mikopo wenyewe kudai fedha hizo.
Mfano SAUT Tabora, IFM na pia UDSM, Jaman huyu mkurugenzi bodi ya mikopo anafanya nn mpaka sasa ofisin asiwajibishwe. Leo UDOM, SAUT Mwanza wanalia hawajapata hela zao. Wanaishije wanafunzi hao na bado mkurugenzi anafanya kazi.
Viongozi tuliowachagua muwasaidie wanafunzi hao haraka iwezekanavyo.