JK, Kwanini si mkurugenzi Bodi ya mikopo?

JK, Kwanini si mkurugenzi Bodi ya mikopo?

Ikinda

Member
Joined
Jan 13, 2013
Posts
62
Reaction score
7
Habari zenu wana jamvi,

Nasikitika sana wanafunzi vyuo vikuu mwaka huu kukosa mikopo haaswa mwaka wa 2,3 na 4.Wanafunzi hao hulalamika sana na kufikia hatua kwenda bodi ya mikopo wenyewe kudai fedha hizo.

Mfano SAUT Tabora, IFM na pia UDSM, Jaman huyu mkurugenzi bodi ya mikopo anafanya nn mpaka sasa ofisin asiwajibishwe. Leo UDOM, SAUT Mwanza wanalia hawajapata hela zao. Wanaishije wanafunzi hao na bado mkurugenzi anafanya kazi.

Viongozi tuliowachagua muwasaidie wanafunzi hao haraka iwezekanavyo.
 
Hivi niulize wanafunzi wote tukiamua kuandamana itakuwaje?kiukweli maisha ya chuo na mkopo bado magumu,je!bila mkopo inakuwaje hapo?
 
tena ni asilimia ndogo sana wananufaika nayo je ingetolewa kwa wanafunzi wote ingekuwaje. tatizo lipo.
 
Ama kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa.Huyu mkurugenzi nae kapita huku mpaka kufika hapo alipo lakin kaisha shiba kasahau hao wachini yake.Lakin jaman ctuna wabunge na wawakilishi ktk nchi hii wanafanya nn kuwasaidia wanafunzi hao.Tena 2015 mnakuja mnataka kura watawapa kweli kama mnashindwa kuwatetea.
 
Back
Top Bottom