Huyu wa kushoto ni Waziri hivo hawezi kuongeaongea
Huyu wakati alisusa kuongea baada ya kutimuliwa kazi
Huyu wa kulia yupoyupo tu....anaangalia maslahi yake binafsi zaidi....haoni umuhimu wa kutetea shida za wapiga kura wake kwa kuwa akitaka kufanya hivyo anamwamrisha mkuu wa nchi tu....