Elections 2010 JK: na idara hii ya Rostam uliikumbuka?

Elections 2010 JK: na idara hii ya Rostam uliikumbuka?

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,662
Reaction score
6,888
3333924.png


Source: UWAZI
 
Utashangaa watapita kwa kishindo majimboni kwao
 
:hand:hawa wanaelewana na mawaziri hivyo hamna haja wao kuongea watapelekewa maendeleo
 
3333924.png


Source: UWAZI

  1. Huyu wa kushoto ni Waziri hivo hawezi kuongeaongea
  2. Huyu wakati alisusa kuongea baada ya kutimuliwa kazi
  3. Huyu wa kulia yupoyupo tu....anaangalia maslahi yake binafsi zaidi....haoni umuhimu wa kutetea shida za wapiga kura wake kwa kuwa akitaka kufanya hivyo anamwamrisha mkuu wa nchi tu....
 
Back
Top Bottom