danganya toto hii, kachelewa, anakoelekea huenda akaanza kupiga magoti kabisa, tungoje tuone,
ila dhambi hii itamtafuna, dhambi ya kutumia wazeee kufanikisha lengo lako huku ukiwaacha na njaa,
wazee hawana matibabu ya uhakika, dawa nazo hamna, anawatumia wazee kuponda wafanyakazi,
wazee tunaowatunza sisi kwa shida, wazee ambao walipashwa kuwa washauri na si washabiki,
hata sijui aliwapatia nini.......
na ile picha yupo kwenye bango akiwa kijana na mama mmoja limeandikwa upendo kwa mama nalo
mlilete, nani asiyempenda mama yake??