Elections 2010 JK Naye!

Elections 2010 JK Naye!

Mnaweza kumchukia JK kwa UTENDAJI wake lakini kwenye kujichanganya na watu wa kila rika, haiba, hadhi,..., hana mfanowe.

Kujichanganya na watu bila kuwasaidia ndio usanii wenyewe tunaouzungumzia!
 
Kujichanganya na watu bila kuwasaidia ndio usanii wenyewe tunaouzungumzia!
Hapana. Hiki ni kipaji kama sio karama. Watanzania zaidi ya milioni 40 ataweza kumsaidia kila mmoja? Angalia tu huyo bibi alivyo njema ndani ya TZ ya JK!
 
Huyo ndiye mjukuu wake alibakwa na makamba, hivyo JK anamuombea msamaha
 
danganya toto hii, kachelewa, anakoelekea huenda akaanza kupiga magoti kabisa, tungoje tuone,
ila dhambi hii itamtafuna, dhambi ya kutumia wazeee kufanikisha lengo lako huku ukiwaacha na njaa,
wazee hawana matibabu ya uhakika, dawa nazo hamna, anawatumia wazee kuponda wafanyakazi,
wazee tunaowatunza sisi kwa shida, wazee ambao walipashwa kuwa washauri na si washabiki,
hata sijui aliwapatia nini.......

na ile picha yupo kwenye bango akiwa kijana na mama mmoja limeandikwa upendo kwa mama nalo
mlilete, nani asiyempenda mama yake??
 
kikwetemakini.jpg

Bibi alimuuliza ''sasa mjukuu wangu wewe si Kanali?Mbona swaumu inakuangusha na una umri nusu yangu wakati mimi nashinda shama sianguki?'' :lol::lol::lol:
 
Back
Top Bottom