Mongoiwe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 524 Reaction score 269 Nov 1, 2010 #121 Star Tv imepiga simu inazungumza na Masha lakini inaonekana mawasiliano siyo mazuri. Wamejaribu kuunganisha mara mbili simu inakata. Alitaka kuzungumza kuwa amekubali kushindwa.
Star Tv imepiga simu inazungumza na Masha lakini inaonekana mawasiliano siyo mazuri. Wamejaribu kuunganisha mara mbili simu inakata. Alitaka kuzungumza kuwa amekubali kushindwa.
kokudo JF-Expert Member Joined Oct 26, 2010 Posts 2,571 Reaction score 1,760 Nov 1, 2010 #122 kabila01 said: nipo tayari kuingia msituni kama mambo ndo haya Click to expand... niko nyuma yako tafadhali nambie ukiwa tayari mambo gani haya
kabila01 said: nipo tayari kuingia msituni kama mambo ndo haya Click to expand... niko nyuma yako tafadhali nambie ukiwa tayari mambo gani haya
K KunjyGroup JF-Expert Member Joined Dec 7, 2009 Posts 352 Reaction score 26 Nov 1, 2010 #123 So Masha's opponent hajatangazwa kama mshind?