Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,191
Ni kweli tena sana, nashangaa umegundua tu leo wewe.
Ukitaka kula cha Mwafrika Mweusi kazi ni ndogo tu, MTAFUTIE MKE na baada ya hapo ukipenda utamchezea hadi ndevu kama ambavyo kiongozi wetu anavyofanyiwa hivi sasa.
Laiti tungelikua na uwezo wa kuongea na Mama Salma basi Watanzania pengine tungesikia mambo 'mavi kunuka' juu ya huyu Binti wa Ki-Iran.
Na mtoto wa Mfanyabiashar mmoja kule Iringa, Mzee Asas, na jinsi familia ya Kikwete inavyoendelea kuwekeza huko!!!