Elections 2010 JK - Ni matusi kudai sijali wafanyakazi!!! Mh!

Yaani una maana ampe hata na mkewe kabisa?
Tatizo liko wapi mbona hata Dr Slaa kaachana na mke wake Rose kamili na sasa yuko na jiko jipya Josephine. Rose hana mtu kwa sasa yuko mitaani. Chunga sana Rose kamili bado anadai ni mke halali wa Dr Slaa kwa maelezo kwamba hajafuta sheria kumpa talaka.
 

Tumezoea kudanganywa na kupuuzwa wakati wote ila wakati wa kura tunaonekana wa maana. Watanzania tuamke na tutumie akili zetu hasa kuchambua kipi kinatufaa na kipi hakitufai. Huku kudanganywadanywa kama watoto na sisi kudanganyika kutatufanya tuendelee kudharaulika.
 
Kwani unasemaje?
Ndio kama unadhani sisi ni Dr Slaa ndivyo ilivyo. Sisi sio walafi wa mali ya Watanzania. Hapo wasemaje?

Ni keri wewe umesema kweli kwamba ni mfuasi na kibaraka wa Dr Slaa. Pole sana hadi sasa CCM wana wabunge 16 na madiwani 236 waliopita bila kupingwa nchi nzima. Urais nao ni wa CCM. pole sana
 
Ni keri wewe umesema kweli kwamba ni mfuasi na kibaraka wa Dr Slaa. Pole sana hadi sasa CCM wana wabunge 16 na madiwani 236 waliopita bila kupingwa nchi nzima. Urais nao ni wa CCM. pole sana
Hao wabunge mliopewa na wasimamizi watakuja shangaa furaha yao imetoweka, unasikia wewe kazi baridi?. Hukumsikia jaji alivyosema? Ujuha ni shida!
 

Hebu tuambie tusi ni lipi hapo dubu ni mnyama kama sikosei ni bear ambaye anaishi porini sasa tufafanulie zile kampeni zenu za CCM mnazisema mnamchukua mnapiga mtama halafu mnamchana wa!!! mnamaanisha nini kama sio maneno ya matusi yenye kuhamasisha mauaji na upotevu wa amani nchini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…