Nyamtala Kyono
Senior Member
- Sep 23, 2010
- 163
- 34
Nimewaza jambo,UWT wangetakiwa kupenyeza watu wao wakti huu wanyarwanda wanaporudishwa kwao. Hii itawafanya wawe raia na itakuwa uwekezaji mzuri sana in the longrun. Watu kama PK wanapaswa kuwa weakened from within.
Toa maoni ya jinsi ya kuishauri serikali katika jambo hili
Toa maoni ya jinsi ya kuishauri serikali katika jambo hili