Harafu kinachoniudhi ni CCM kudhani watanzania wote ni mabwege. Naomba niulize nchi hizo zinazotoa elimu ya bure ziliwezaje? Zamani hao wakina kikwete walisoma bure je, nchi ilikuwa tajiri au maskini?
kinacho zungumzwa hapa ni elimu mpaka ya sekondari/upili chuo kikuuu tunaweza kuendelea na utaratibu wa mikopo, na kwa wale wanafunzi wanaofanya exceptionally wanaweza kupata tuzo kwa kusomemshwa na serikali, kwani wao ni rasilimali ya taifa na ku-crate hali ya ushindani, hivyo kuongeza tija., hayo ni mawazo ya kimaendeleo, na sio serikali haina uwezo lakini wakupiga dansi ikulu wanayokwa kuwasaidia ili muinyanyambue hoja vizuri, naomba u rejee kidogo ktk habari hii hapa chini ......
The School of Education traces its beginnings back to July 1964, when a Department of Education was established as one of the several university teaching departments within a second newly set up Faculty of Arts and Social Sciences. The Faculty of Arts and Social Sciences, itself established in 1964, was following the very first faculty-the Faculty of Law-with which the then University College Dar Es Salaam began, in 1961, as the highest institution of learning and training in the land. In that same year, 1964, the University College Dar Es Salaam had just become a constituent college of the University of East Africa, in a federal setup together with the other two university colleges at Makerere (in Uganda) and Nairobi (in Kenya).
When a third faculty, Science, was opened in the next year (1965), the student enrolment into the Department of Education was bound to-and in fact did-expand to include an intake of science students following science subjects and at the same time training to become teachers of those science subjects in schools.
Since then, the Department grew in course structure, from an initial status of "minor" departmental education courses to "major" courses by specialist streams as from the mid-1970s; in undergraduate student enrolment, from a humble 30 in 1964 to 658 in 1973; in postgraduate student intake, from 7 in 1974 to as many as 25 in 1978, 19 in 1980 and an annual average of 10 thereafter; as well as in staffing for the correspondingly expanding programmes. In a similarly rising trend, the Department made its contribution in preparing and producing graduate teachers, from as few as 30 in the 1966/67 academic year to as many as 274 in 1969/70 and thereafter at annual average rate of 200.
kinacho zungumzwa hapa ni elimu mpaka ya sekondari/upili chuo kikuuu tunaweza kuendelea na utaratibu wa mikopo, na kwa wale wanafunzi wanaofanya exceptionally wanaweza kupata tuzo kwa kusomemshwa na serikali, kwani wao ni rasilimali ya taifa na ku-crate hali ya ushindani, hivyo kuongeza tija., hayo ni mawazo ya kimaendeleo, na sio serikali haina uwezo lakini wakupiga dansi ikulu wanayo
Wewe kijana idadi ya watu si kigezo. Kama kuna mtu aliyesoma chuo kikuu miaka ya 1969-1971 atakumbuka tulikuwa tunatumia gharama kubwa sana, Tulikuwa tunaagiziwa kuku kutoka Ulaya, Nguo tulikuwa tunafuliwa na wafanyakazi walioajiliwa kwa kazi hiyo, na mabo mengi tu ya gharama. Alipokuja Pius Msekwa kuwa VC ndo akaanza kubadili kila kitu. CCM walianza ufisadi zamani.Tupe takwimu kipindi hicho wanafunzi wa chuo kikuu nchi nzima walikuwa wangapi? na pia naomba mnitajie nchi yoyote duniani inayotoa elimu bure yani fee na fedha ya kujikimu mwanafunzi
Wewe kijana idadi ya watu si kigezo. Kama kuna mtu aliyesoma chuo kikuu miaka ya 1969-1971 atakumbuka tulikuwa tunatumia gharama kubwa sana, Tulikuwa tunaagiziwa kuku kutoka Ulaya, Nguo tulikuwa tunafuliwa na wafanyakazi walioajiliwa kwa kazi hiyo, na mabo mengi tu ya gharama. Alipokuja Pius Msekwa kuwa VC ndo akaanza kubadili kila kitu. CCM walianza ufisadi zamani.
Kenya, Botswana, namibia zinatoa elimu bure
Nyinyi mmesoma siku hizi hivyo huwezi kuelewa, Sisi tuliosoma zamani, ndo tunajua vizuri tofauti kati ya vizazi vyenu na sisi tuliosoma enzi za nyerere. Siku hizi serikali haijali kabisa wanafunziMnabadirisha tu gitaa na midundo. Kwani shule za kata ada yake ni kiasi gani?? Na pia naomba tu msaada ni nchi gani inayotoa elimu bure ya kujimu kifedha na fee??
Najua kuna watu watakuja na maneno ya kebehi na wanavyotaka, lakini sisiti kusema Tanzania ni moja ya nchi best duniani inayojali wanafunzi wake.
Nyinyi mmesoma siku hizi hivyo huwezi kuelewa, Sisi tuliosoma zamani, ndo tunajua vizuri tofauti kati ya vizazi vyenu na sisi tuliosoma enzi za nyerere. Siku hizi serikali haijali kabisa wanafunzi
kuna thread ambayo watu wamechangia kuhusu elimu ya kubure kuwezekana, nikipata link yake nita kupatia, lakini kama wewe una ndugu nchi za 1st world watakwambia kuwa elimu ni bure mpaka kiwango cha upili, vyuo vikuu ndio kunakuchangia kwa kupewa mkopo unao kuwezesha kulipia hiyo ada,Mnabadirisha tu gitaa na midundo. Kwani shule za kata ada yake ni kiasi gani?? Na pia naomba tu msaada ni nchi gani inayotoa elimu bure ya kujimu kifedha na fee??
Najua kuna watu watakuja na maneno ya kebehi na wanavyotaka, lakini sisiti kusema Tanzania ni moja ya nchi best duniani inayojali wanafunzi wake.
kuna thread ambayo watu wamechangia kuhusu elimu ya kubure kuwezekana, nikipata link yake nita kupatia, lakini kama wewe una ndugu nchi za 1st world watakwambia kuwa elimu ni bure mpaka kiwango cha upili, vyuo vikuu ndio kunakuchangia kwa kupewa mkopo unao kuwezesha kulipia hiyo ada,
na hizo shule za kata unazo sifia wala si shule, kwani shule inatakiwa iendane na kuwepo na waalimu wa kutosha na madawati, hata umeme darasa hali, dari hakuna wewe utasema hiyo ni shule? kwa viwango gani vya dunia ya leo, karne ya 21? wakati kiongozi huyo huyo wa nchi hihi anayo dai maskini inuwezo wa kuwaachia wezi wa meremeta, epa, debt convetion zile skandali za akina chawda, jiitu patel wakati wa Alhaji mwinyi, kuwalipa rites mamilioni, netgroup, kusdamehe miraha na kodo lukuki, yaani mkamp, sijui niseme nini, na sasa inabidi niwaze hivi ulivyo soma shule ulielewa au ulikuwa huelewi au ni mapenzi ya mtu/chama yanayo kufanya ushobikie upuuzi kama huu? au kwa mategemeo kwamba wewe ndio umeisha futa umaskini binafsi hivyo hali hii haikuhusu?
au unafurahia hali hii?
kuna thread ambayo watu wamechangia kuhusu elimu ya kubure kuwezekana, nikipata link yake nita kupatia, lakini kama wewe una ndugu nchi za 1st world watakwambia kuwa elimu ni bure mpaka kiwango cha upili, vyuo vikuu ndio kunakuchangia kwa kupewa mkopo unao kuwezesha kulipia hiyo ada,
halafu unapo uliza hiyo fee/ada ya shule ya kata shs ngapi je wajua kima cha chni cha mshahara ni shs ngapi? je kina muwezesha mtu wa chini kulipia hiyo ada kwa watoto wake wawili na kupanga nyumba na chakula, na usafiri wa kwenda kazini, matibabu na dharura?, au watu wachini hawana haki kama hiyo? na je mtoto wa mtu wa hali kama hii ni namna gani atatoka huko au kwa vipi ikiwa kwenye elimu una mbana hata kama ana uwezo wa kiakili?
mkampa nafikiri unahitaji tuition ya uwigo mpana wa uchumi na siasa endelevu
sasa kwa taarifa yako mkamp mimi nimesoma katika shule deski ni langu peke yanguu, mvua ikinyesha hamna kelele darasani kwa sababu ya dari, na umeme upo hivyo kunakuwepo na mwanga wa kutosha, na hilo desk lina chema ya chini ya kuhifadhia madftari/begi la shule na ukitaka unaweka na lock au kufuli ili wezi wasiweze kuchukua kitabu/daftari/begi/kalamu nk nkn, sasa model ya darasa langu si hii ninayo iona, sasa nikimuona mtu na akili zake anatetea hali hii kwa kweli nitamshangaa, nitamuona huyu anaishi dunia ya wapi ambayo unatoka darasa lenye madawati, umeme, dari, walimu wa kutosha, kwenda kwenye shule isiyo na waalimu, umeme, dari, na kujiona tunakwenda in "ze" right direction
ukiwa na matatizo kama yako of course huwezi kuwa na vision ya kuangalia huko? utakuwa unaangalia jinsi gani ya kurudi nyuma zaidi na zaidi, je wao walifikaje huko? sii kwa kudhamiria na kujiwekea malengo, sasa wewe na matatizo yako unajiwekea malengo ya kununua vx8 nk nk badala ya kuwekeza kwenye elimu unafikiri utatoka kwenye matatizo hayo? kuwaaachia wachimba madini wasilipe kodi, kulipia wizi kama meremeta, epa , kujenga kitu kwa mabilioni halafu unakiuza kwa millioni, unafikiri utatoka kwenye lindi la umasikini, ndugu yangu mgonjwa?Na sisi tunajilinganisha vipi na NCHI ZA FIRST WORLD?
Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Jakaya Kikwete, amesema serikali haina uwezo wa kutoa huduma za jamii bure na amewashangaa wanasiasa wanaopita wakiwadanganya wananchi kuwa iwapo wakichaguliwa watatoa huduma hizo bure.
Aliyasema hayo jana katika kata ya Mchanngimbore jimbo la Peramiho mkoani Ruvuma katika siku yake ya pili ya kampeni katika mkoa huo.
Kikwete alisema serikali ilishajaribu sera hiyo ya huduma bure lakini ilishindwa kwani bidhaa ziliadimika na huduma nyingi zilishindwa kutolewa.
Alisema licha ya maendeleo yaliyofikiwa tangu Uhuru, Tanzania bado ni nchi maskini na haiwezi kutoa huduma bure kama baadhi ya watu wanavyowaahidi wananchi katika kampeni zao.
Alisema CCM inaahidi mambo yanayotekelezeka na kwamba imejitahidi kuhakikisha yale yote yaliyoahidiwa mwaka 2005 katika Ilani yake yametimizwa.
Alisema serikali iliahidi kujenga shule za sekondari kila kata na imefanikiwa kufanya hivyo na sasa kila kata ina shule mbili za sekondari, jambo ambalo awali lilionekana kama haliwezekani.
Alisema serikali imejitahidi kwa kiwango kikubwa kuboresha elimu ya msingi na sekondari na hivi sasa wanafunzi wengi wanapata nafasi ya kwenda shule tofauti na ilivyokuwa mwaka 2005.
CHANZO.
Haya sasa...
kuna thread ambayo watu wamechangia kuhusu elimu ya kubure kuwezekana, nikipata link yake nita kupatia, lakini kama wewe una ndugu nchi za 1st world watakwambia kuwa elimu ni bure mpaka kiwango cha upili, vyuo vikuu ndio kunakuchangia kwa kupewa mkopo unao kuwezesha kulipia hiyo ada,
na hizo shule za kata unazo sifia wala si shule, kwani shule inatakiwa iendane na kuwepo na waalimu wa kutosha na madawati, hata umeme darasa hali, dari hakuna wewe utasema hiyo ni shule? kwa viwango gani vya dunia ya leo, karne ya 21? wakati kiongozi huyo huyo wa nchi hihi anayo dai maskini inuwezo wa kuwaachia wezi wa meremeta, epa, debt convetion zile skandali za akina chawda, jiitu patel wakati wa Alhaji mwinyi, kuwalipa rites mamilioni, netgroup, kusdamehe miraha na kodo lukuki, yaani mkamp, sijui niseme nini, na sasa inabidi niwaze hivi ulivyo soma shule ulielewa au ulikuwa huelewi au ni mapenzi ya mtu/chama yanayo kufanya ushobikie upuuzi kama huu? au kwa mategemeo kwamba wewe ndio umeisha futa umaskini binafsi hivyo hali hii haikuhusu?
au unafurahia hali hii?
Tatizo unachanganya madafu na njegere, Kwa taarifa yako hata huko ulaya kwa kima ya chini hiyo kitu haitoshi Thubutuuuuuuuuu eti uwe sijui Ufaransa/sweeden na wa watoto wako 5 uwalipie bweni teh teh teh teh kwa kima ya chini ha ha ha ha . Utachemsha vibaya itabidi ustawi wa jamii waingilie kati tu.
Acheni kudanganya watu. Waambieni ukweli.