kuna thread ambayo watu wamechangia kuhusu elimu ya kubure kuwezekana, nikipata link yake nita kupatia, lakini kama wewe una ndugu nchi za 1st world watakwambia kuwa elimu ni bure mpaka kiwango cha upili, vyuo vikuu ndio kunakuchangia kwa kupewa mkopo unao kuwezesha kulipia hiyo ada,
na hizo shule za kata unazo sifia wala si shule, kwani shule inatakiwa iendane na kuwepo na waalimu wa kutosha na madawati, hata umeme darasa hali, dari hakuna wewe utasema hiyo ni shule? kwa viwango gani vya dunia ya leo, karne ya 21? wakati kiongozi huyo huyo wa nchi hihi anayo dai maskini inuwezo wa kuwaachia wezi wa meremeta, epa, debt convetion zile skandali za akina chawda, jiitu patel wakati wa Alhaji mwinyi, kuwalipa rites mamilioni, netgroup, kusdamehe miraha na kodo lukuki, yaani mkamp, sijui niseme nini, na sasa inabidi niwaze hivi ulivyo soma shule ulielewa au ulikuwa huelewi au ni mapenzi ya mtu/chama yanayo kufanya ushobikie upuuzi kama huu? au kwa mategemeo kwamba wewe ndio umeisha futa umaskini binafsi hivyo hali hii haikuhusu?
au unafurahia hali hii?