kwa hiyo hizo t-shirt mnazotoa ni rushwa au ndio kununua wapiga kura au ndio jinsi ya kutekela sera yenu ya kula uliwe?hey, stop this ignorance. Duniani hakuna kitu "bure". Hakuna nchi yoyote inayotoa kitu chochote bure. Uliza tukupe maelezo jinsi ilivyo.
Tatizo la Jakaya ni yeye binafsi kusomeshwa bure na fweza za walipa kodi sasa hataki wenzake wasomeshwe bure kama yeye AIBU!
Hata sasa bado yuko ulaya. Kasomea mambo ya ukomunist katika nchi za kikomunistkuna thread ambayo watu wamechangia kuhusu elimu ya kubure kuwezekana, nikipata link yake nita kupatia, lakini kama wewe una ndugu nchi za 1st world watakwambia kuwa elimu ni bure mpaka kiwango cha upili, vyuo vikuu ndio kunakuchangia kwa kupewa mkopo unao kuwezesha kulipia hiyo ada,
na hizo shule za kata unazo sifia wala si shule, kwani shule inatakiwa iendane na kuwepo na waalimu wa kutosha na madawati, hata umeme darasa hali, dari hakuna wewe utasema hiyo ni shule? kwa viwango gani vya dunia ya leo, karne ya 21? wakati kiongozi huyo huyo wa nchi hihi anayo dai maskini inuwezo wa kuwaachia wezi wa meremeta, epa, debt convetion zile skandali za akina chawda, jiitu patel wakati wa Alhaji mwinyi, kuwalipa rites mamilioni, netgroup, kusdamehe miraha na kodo lukuki, yaani mkamp, sijui niseme nini, na sasa inabidi niwaze hivi ulivyo soma shule ulielewa au ulikuwa huelewi au ni mapenzi ya mtu/chama yanayo kufanya ushobikie upuuzi kama huu? au kwa mategemeo kwamba wewe ndio umeisha futa umaskini binafsi hivyo hali hii haikuhusu?
au unafurahia hali hii?
Huwezi kuwa na viongozi wahuni kama Kikwete na Makamba chama na serikali vika progress. Piga ua tutalia sana tukiwarudisha wahuni tu hawa madarakani.roho inauma sana, naogopa ku-comments mods watanifungia... PAYEE inauma sana, can someone insert senses to Kikwete?
Hivi anakumbuka nchi ilivyolipuka kwa shangwe alipotangazwa kuteuliwa kuwa mgombea wa ccm na mkutano mkuu wa ccm tulivyomchukulia kuwa mkombozi wa taifa hili?
Does he real knows the magnitude of the pains we have kwa kuwasaliti wananchi wa nchi hii wanaoamka kila kukicha kwenda makazini na mashambani wanalipishwa kodi za mazao na PAYEE na pesa hizo anawapa rafiki zake akina Rostam. Is this guy a tru human or reptillian who doesn't care the pains of 40ml restless humans living in Tanzania?
Do this man have any senses???????
Sometimes I wonder if TZ was one of the west african states kama angekuwa bado Ikulu.
Huwezi kuwa na viongozi wahuni kama Kikwete na Makamba chama na serikali vika progress. Piga ua tutalia sana tukiwarudisha wahuni tu hawa madarakani.
Vote Dr Slaa we need changes basi. Ondoa wahuni hao madarakani for the sake of Tnzania mpya
Kikwete na Makamba ni wahuni !!!!!!Kama kutia nje ya ndoa ni uhuni, Dr. Slaa naye ni mhuni.
JK ni mjinga kabisa Kuiba mabilioni inawezekana lakini Elimu ya bure ya mamilioni haiwezekani!!!! Kweli watanzania tu wajinga na wavivu wa kufikiri . Thanks God Mungu amenipa hekima sidanganywi na mwizi wa pesa ya UMMA.
The truth of the matter is; Nothing is Free in this world!
Free social services means breeding ground forlazy folks and freeloaders!
Nyerere tried, Kaunda tried, China tried, Russia, and even Castro tried and in the end it didn't work!
Wake up people!
Hiyo point! Lazima tukubali kuwa inafika wakati wazazi nao wachangie elimu za watoto wao> Hii biashara ya bure bure hii ni tamu sana masikioni lakini utekelezaji wake sio mchezo!
Fees za aina yote zimefutwa elimu ya msingi, na kila mtoto aliyefika umri wa kuingia shule darasa la kwanza aingie, tena bila ya kulipa chochote, na asirudishwe nyumbani eti kwa kukosa mchango wa madawati, au majengo au whatever - michango yote iwe ni ya kijiji kwa ujumla na sio kwa mzazi/mlezi aliye na mtoto/watoto shuleni. Matokeo yake Tanzania imepata tuzo ya kuwaandikisha watoto wenye umri wa kwenda shule kwa 95%.
Kwa sekondari, serikali ya JK imepunguza ada za shule za sekondari za serikali hadi kufikia shilingi 20,000! Vilevile, serikali ilizichukua shule nyingi sana zilizokuwa za private na za kata etc na kuzifanya ziwe za serikali. Changamoto sasa ni kuboresha hizo shule na elimu itokanayo - kweli walivurunda kidogo pale shule za kata zinafunguliwa kumbe walimu wake ndio kwanza wapo chuoni! MUCE na DUCE zikaungana na Mlimani kutoa walimu wenye degreee - DUCE na MUCE ni matunda ya serikali ya Mkapa lakini si ndio hao hao CCM?
Kila kata mbili zina shule ya sekondari.Hilo si dogo.Ni hatua ya kupongezwa.Sasa kilichobaki ni kulinda hizi shule na kuzipatia vifaa na walimu.Hiyo ni hatua inayofuata.Haihitaji Phd kufahamu kuwa ni ahadi iliyotekelezeka.
[B said:Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Jakaya Kikwete, amesema serikali haina uwezo wa kutoa huduma za jamii bure na amewashangaa wanasiasa wanaopita wakiwadanganya wananchi kuwa iwapo wakichaguliwa watatoa huduma hizo bure[/B].QUOTE]
Mwaka 1984 kwenye uchaguzi wa USA,Mgombea U-Rais kupitia chama cha Democrats Walter Mondole kwenye kampeni zake alikuwa anasema kuwa"HAWEZI kuwaficha wamarekani kama ataongeza kodi au laa;akisisitiza kuwa KUONGEZA au KUTOONGEZA kodi itategemea na uchumi wa USA ulivyo kwa wakati huo"
Wamarekani walimuona ni mgombea asiyejua anakwenda kufanya nini Ikulu na ambaye hayupo kwa maslahi yao,hivyo akashindwa vibaya sana kwenye uchaguzi akichukua jimbo moja tu la anakotoka la Michigani akimuacha Ronald Reagan atwae majimbo 49 yaliyobakia na kufanya uchaguzi wa mwaka 1984 kuwa ndiyo uchaguzi rahisi kupata kutokea ktk historia ya Marekani!
Hata sisi wa TZ tunaweza ufanya uchaguzi wa mwaka huu kuwa rahisi sana hasa kama tukizidi tukisambaza mchakato unaoonyesha njia halali za kufanya wa TZ wapate huduma za shule na afya bure kama zile zilioanishwa vyema na mwanazuoni Dr Mkumbo;sio siri TZ inapoteza mabilion ya pesa kwa sababu ya vipaumbele ndivyo sivyo!
Wamarekani walimuambia Mondale mwaka 1984 kama huna uhakika kuhusu kodi yetu hatukutaki;iweje tusimuambie JK october hii kuwa kama huwezi toa elimu bure mpishe Dr Slaa anayeweza?
in india have they stopped discrimination of it's own citizen, lower cast, untouchables etc, na na ardhi wengine kwa nini inakuwa ngumu kuwa nayo?The truth of the matter is; Nothing is Free in this world!
Free social services means breeding ground forlazy folks and freeloaders!
Nyerere tried, Kaunda tried, China tried, Russia, and even Castro tried and in the end it didn't work!
Even Obama has tried, and he won't get any far as he'll be losing both houses next month!
Wake up people!