Malunde-Malundi
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 1,288
- 131
Sijui kwa nini waandishi wanakubali kudanganya wananchi, rais anahutubia mkutano utaona ktk picha watu wamekaa mkutano wa ndani, hii ni nini kama sio kudanganya au siku hizi wanahutubia mikutano ya ndani tu? Nasikia watu wanaenda kuwaangalia wasanii tu wachache wanaoonyesha fiesta ya ccm. Peoples ..........power........