Elections 2010 JK, Shein hawapati watu, picha za 2005 zawaokoa

Elections 2010 JK, Shein hawapati watu, picha za 2005 zawaokoa

Malunde-Malundi

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2008
Posts
1,288
Reaction score
131
Sijui kwa nini waandishi wanakubali kudanganya wananchi, rais anahutubia mkutano utaona ktk picha watu wamekaa mkutano wa ndani, hii ni nini kama sio kudanganya au siku hizi wanahutubia mikutano ya ndani tu? Nasikia watu wanaenda kuwaangalia wasanii tu wachache wanaoonyesha fiesta ya ccm. Peoples ..........power........
 
Back
Top Bottom