Wana JF, nimesikia sasa hivi kutoka TBC taifa kuwa Kikwete aka Vasco Dagama kuwa hajawahi kusema popote kuwa serikali yake itajenga barabara ya rami kuunganisha Arusha na Mara kupitia mbuga ya Serengeti. Amesema hayo akimwambia Zuma kuwa yeye ni mtu wa mazingara.
Mimi ninvyokumbuka ni kuwa alisema tajenga na alisema hata watu wasemaje yeye anawajali wananchi wake. wenye video ya hayo mambo tujuzeni tafadhali. nimesikitika sana kwa rais wetu kuwa mwongo. hii ni janja ya kuomba misaada.
naomba mwogozo wenu.
Kama huwezi kufikiri utakuwaje na kumbu kumbu?
"Mh Rais alikuwa anatania tu"!
Umeelewa lakini, usileweshe mada kwa maswali yasiyo na msingi. Bora mawasiliano.Kiswahili basi ndugu yangu; hebu angalia maneno hayo yenye rangi nyekundu!
Kama huwezi kufikiri utakuwaje na kumbu kumbu?
Mkuu kwenye ile list ya Ahadi zake sabini na nyingi hii haipo?