Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nikweli alisema atajenga barabara kwa lami asiseme uwongo kwenye mataifa ili apate misaada kwanini asiwe mkweli kiongozi wetu jamani hata kama nigamba niletu tu tutavumilia mungu amsaidie akili na kumbukumbu ameniImo Kiongozi! Huyu jamaa huwa anasahau sana
Vasco da Gama II ana mtindio wa ubongo wakeWana JF, nimesikia sasa hivi kutoka TBC taifa kuwa Kikwete aka Vasco Dagama kuwa hajawahi kusema popote kuwa serikali yake itajenga barabara ya rami kuunganisha Arusha na Mara kupitia mbuga ya Serengeti. Amesema hayo akimwambia Zuma kuwa yeye ni mtu wa mazingara. Mimi ninvyokumbuka ni kuwa alisema tajenga na alisema hata watu wasemaje yeye anawajali wananchi wake. wenye video ya hayo mambo tujuzeni tafadhali. nimesikitika sana kwa rais wetu kuwa mwongo. hii ni janja ya kuomba misaada. naomba mwogozo wenu.
Kama huwezi kufikiri utakuwaje na kumbu kumbu?
NA HUU NDIO USHAHIDI Serengeti road construction will go on, President Kikwete insists 26/09/2010 Tanzania's president said Saturday construction of a controversial two-lane road through the UN-listed Serengeti national park will go ahead as it will not disturb the ecosystem. "All precautions have been taken to make sure that the wildlife is not affected," Jakaya Kikwete was quoted as saying by state-owned media as telling election campaign rallies in Ngorongoro and Serengeti districts. Picture Jakaya Mrisho Kikwete - President/Tanzania Tanzania's president said Saturday construction of a controversial two-lane road through the UN-listed Serengeti national park will go ahead as it will not disturb the ecosystem. "All precautions have been taken to make sure that the wildlife is not affected," Jakaya Kikwete was quoted as saying by state-owned media as telling election campaign rallies in Ngorongoro and Serengeti districts. Kikwete, who is seeking re-election for second and final five-term, was responding to local and foreign activists who oppose the project on grounds that it would scare away animals. "What I can assure the activists is that the Serengeti shall not die and the proposed road has many social and economic advantages to the people in Mara and Arusha regions," he told residents of the Mto wa Mbu area. On Thursday, the Tanzanian government announced they have formed a team to study the impact of the project, but that it had not changed its position on the construction of the road. Some local environmentalists say a paved road through Mikumi National Park in central Tanzania has led to the death of many animals that are hit by vehicles despite speed bumps. Some 27 biodiversity experts recently warned in the science journal Nature, that the proposed Serengeti highway would destroy one of the world's last great wildlife sanctuaries. "The road will cause an environmental disaster," the experts said, urging the government to look at an alternative route that runs far south of the UN-listed site. The planned road slashes right across the annual migratory route taken by 1.3 million wildebeest, part of the last great mass movements of animals. The wildebeest play a vital role in a fragile ecosystem, maintaining the vitality of Serengeti's grasslands and sustaining threatened predators such as lions, cheetahs and wild dogs, they said. Kikwete has repeatedly defended the planned road, saying the stretch crossed by migrating animals will be gravelled rather than paved with the aim of reducing speed. Sceptics say lorries will speed even on gravel. The president has also argued that the road will improve transportation and boost economic activity for people living close to the park. Tanzanian media have reported people rushing to the area to put up buildings and plant crops in the hope of being compensated when construction starts. source: Serengeti road construction will go on, President Kikwete insists - WavutiWana JF, nimesikia sasa hivi kutoka TBC taifa kuwa Kikwete aka Vasco Dagama kuwa hajawahi kusema popote kuwa serikali yake itajenga barabara ya rami kuunganisha Arusha na Mara kupitia mbuga ya Serengeti. Amesema hayo akimwambia Zuma kuwa yeye ni mtu wa mazingara. Mimi ninvyokumbuka ni kuwa alisema tajenga na alisema hata watu wasemaje yeye anawajali wananchi wake. wenye video ya hayo mambo tujuzeni tafadhali. nimesikitika sana kwa rais wetu kuwa mwongo. hii ni janja ya kuomba misaada. naomba mwogozo wenu.
Wana JF, nimesikia sasa hivi kutoka TBC taifa kuwa Kikwete aka Vasco Dagama kuwa hajawahi kusema popote kuwa serikali yake itajenga barabara ya rami kuunganisha Arusha na Mara kupitia mbuga ya Serengeti. Amesema hayo akimwambia Zuma kuwa yeye ni mtu wa mazingara.
Mimi ninvyokumbuka ni kuwa alisema tajenga na alisema hata watu wasemaje yeye anawajali wananchi wake. wenye video ya hayo mambo tujuzeni tafadhali. nimesikitika sana kwa rais wetu kuwa mwongo. hii ni janja ya kuomba misaada.
naomba mwogozo wenu.
wale wale kumbukumbu zimeoza!!hiyo karibuni ni lini katika kipindi gani?????????? Isije ikawa majungu
nakumbuka ilipingwa saana na watu hapa janvini tena with evidence za ramani na yeye jk alisisitiza kuwa atajenga na hawezi kuacha kujenga kisa mazingira au mleta mada unatudanganya wewe!kwa maelezo hayo ni dhahiri kwamba rais wa tanzania jakaya mrisho kikwete amedanganya taifa la tanzania na ulimwengu?
Wana JF, nimesikia sasa hivi kutoka TBC taifa kuwa Kikwete aka Vasco Dagama kuwa hajawahi kusema popote kuwa serikali yake itajenga barabara ya rami kuunganisha Arusha na Mara kupitia mbuga ya Serengeti. Amesema hayo akimwambia Zuma kuwa yeye ni mtu wa mazingara.
.
hapo patamu ni kweli anafanya biashara tu wala sio rais.''Sijawahi kuwa raisi wa Tanzania, nimepanga magogoni naendelea na biashara zangu, tehe tehe tehe, eti wananiita raisi. Kweli wale watu hamnazo!''
Angalia kwanza gogo ktk jicho lako. Maneno hayana rangi hayo ni maandishi. Kudadadeki.Kiswahili basi ndugu yangu; hebu angalia maneno hayo yenye rangi nyekundu!