JK: Sijawahi kusema serikali yangu itajenga Barabara kupitia Mbuga ya Serengeti

JK: Sijawahi kusema serikali yangu itajenga Barabara kupitia Mbuga ya Serengeti

Imo Kiongozi! Huyu jamaa huwa anasahau sana
nikweli alisema atajenga barabara kwa lami asiseme uwongo kwenye mataifa ili apate misaada kwanini asiwe mkweli kiongozi wetu jamani hata kama nigamba niletu tu tutavumilia mungu amsaidie akili na kumbukumbu ameni
 
Yaani huyu jamaa hamnazo kabisa. Kelele zote ambazo serikali yake ilikuwa inapiga kuhusu hiyo barabara zilikuwa za nini sasa?
 
Wakati wa kipindi cha kampeni, mwezi septemba 2010 akiwa maeneo ya Ngorongoro na Serengeti, Mh JK alisema hivi "Mipango ya Ujenzi wa Barabara ya lami kupitia Serengeti iko pale pale" ( refer wavuti.com)

Wakati wa kikao cha World Economic Forum, huko Davos mwezi Januari 2011, Mh JK alikutana na Managing Director wa World Bank, Ms. Ngozi Ikonjo-Iweala na mojawapo ya agenda ilikuwa ni ujenzi wa barabara ya lami kupitia Serengeti National Park. Mh JK akarudia tena usemi wake "mipango ya ujenzi iko pale pale" lakini wakati huu alikuwa akijing'ata ng'ata kwa kusema "Serikali yangu haina mpango wa kujenga barabara ya lami katika mbuga ya Serengeti, ila tuna mpango wa kujenga barabara ya kilometa 54 tu na itapita upande wa kaskazini mwa mbuga ambapo itasaidia kupungua urefu wa barabara!!!" (refer dullonet.com)
 
Wana JF, nimesikia sasa hivi kutoka TBC taifa kuwa Kikwete aka Vasco Dagama kuwa hajawahi kusema popote kuwa serikali yake itajenga barabara ya rami kuunganisha Arusha na Mara kupitia mbuga ya Serengeti. Amesema hayo akimwambia Zuma kuwa yeye ni mtu wa mazingara. Mimi ninvyokumbuka ni kuwa alisema tajenga na alisema hata watu wasemaje yeye anawajali wananchi wake. wenye video ya hayo mambo tujuzeni tafadhali. nimesikitika sana kwa rais wetu kuwa mwongo. hii ni janja ya kuomba misaada. naomba mwogozo wenu.
Vasco da Gama II ana mtindio wa ubongo wake
 
Wana JF, nimesikia sasa hivi kutoka TBC taifa kuwa Kikwete aka Vasco Dagama kuwa hajawahi kusema popote kuwa serikali yake itajenga barabara ya rami kuunganisha Arusha na Mara kupitia mbuga ya Serengeti. Amesema hayo akimwambia Zuma kuwa yeye ni mtu wa mazingara. Mimi ninvyokumbuka ni kuwa alisema tajenga na alisema hata watu wasemaje yeye anawajali wananchi wake. wenye video ya hayo mambo tujuzeni tafadhali. nimesikitika sana kwa rais wetu kuwa mwongo. hii ni janja ya kuomba misaada. naomba mwogozo wenu.
NA HUU NDIO USHAHIDI Serengeti road construction will go on, President Kikwete insists 26/09/2010 Tanzania's president said Saturday construction of a controversial two-lane road through the UN-listed Serengeti national park will go ahead as it will not disturb the ecosystem. "All precautions have been taken to make sure that the wildlife is not affected," Jakaya Kikwete was quoted as saying by state-owned media as telling election campaign rallies in Ngorongoro and Serengeti districts. Picture Jakaya Mrisho Kikwete - President/Tanzania Tanzania's president said Saturday construction of a controversial two-lane road through the UN-listed Serengeti national park will go ahead as it will not disturb the ecosystem. "All precautions have been taken to make sure that the wildlife is not affected," Jakaya Kikwete was quoted as saying by state-owned media as telling election campaign rallies in Ngorongoro and Serengeti districts. Kikwete, who is seeking re-election for second and final five-term, was responding to local and foreign activists who oppose the project on grounds that it would scare away animals. "What I can assure the activists is that the Serengeti shall not die and the proposed road has many social and economic advantages to the people in Mara and Arusha regions," he told residents of the Mto wa Mbu area. On Thursday, the Tanzanian government announced they have formed a team to study the impact of the project, but that it had not changed its position on the construction of the road. Some local environmentalists say a paved road through Mikumi National Park in central Tanzania has led to the death of many animals that are hit by vehicles despite speed bumps. Some 27 biodiversity experts recently warned in the science journal Nature, that the proposed Serengeti highway would destroy one of the world's last great wildlife sanctuaries. "The road will cause an environmental disaster," the experts said, urging the government to look at an alternative route that runs far south of the UN-listed site. The planned road slashes right across the annual migratory route taken by 1.3 million wildebeest, part of the last great mass movements of animals. The wildebeest play a vital role in a fragile ecosystem, maintaining the vitality of Serengeti's grasslands and sustaining threatened predators such as lions, cheetahs and wild dogs, they said. Kikwete has repeatedly defended the planned road, saying the stretch crossed by migrating animals will be gravelled rather than paved with the aim of reducing speed. Sceptics say lorries will speed even on gravel. The president has also argued that the road will improve transportation and boost economic activity for people living close to the park. Tanzanian media have reported people rushing to the area to put up buildings and plant crops in the hope of being compensated when construction starts. source: Serengeti road construction will go on, President Kikwete insists - Wavuti
 
Wana JF, nimesikia sasa hivi kutoka TBC taifa kuwa Kikwete aka Vasco Dagama kuwa hajawahi kusema popote kuwa serikali yake itajenga barabara ya rami kuunganisha Arusha na Mara kupitia mbuga ya Serengeti. Amesema hayo akimwambia Zuma kuwa yeye ni mtu wa mazingara.

Mimi ninvyokumbuka ni kuwa alisema tajenga na alisema hata watu wasemaje yeye anawajali wananchi wake. wenye video ya hayo mambo tujuzeni tafadhali. nimesikitika sana kwa rais wetu kuwa mwongo. hii ni janja ya kuomba misaada.

naomba mwogozo wenu.


Kwa maelezo hayo ni dhahiri kwamba Rais wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete amedanganya Taifa la Tanzania na ulimwengu?
 
Kikwete ni olmekii alitamka mwenyewe alipokuja loliondo kuomba kura. Ccm wakae wakijua 2015 hawapati kitu ngorongoro.
 
hapa tunayo kazi kweli, Alisema pia hajui Richmond na hajui nani aliwateta.
jambo kubwa kama lile nchini then PRsida aijue linakujaje. kazi iko
 
Aiaaaai mambo ya jk bwana inakuwa kama tunaota hivi! YAANI KILA KITU NAONA KAMA NI NDOTO KWA JK!
 
''Sijawahi kuwa raisi wa Tanzania, nimepanga magogoni naendelea na biashara zangu, tehe tehe tehe, eti wananiita raisi. Kweli wale watu hamnazo!''
 
kwa maelezo hayo ni dhahiri kwamba rais wa tanzania jakaya mrisho kikwete amedanganya taifa la tanzania na ulimwengu?
nakumbuka ilipingwa saana na watu hapa janvini tena with evidence za ramani na yeye jk alisisitiza kuwa atajenga na hawezi kuacha kujenga kisa mazingira au mleta mada unatudanganya wewe!
Tulijadili kwa mapana madhara ya kujenga barabara hiyo na kupiga uamuzi wake kumbe alimaanisha nini sasa!
 
Wana JF, nimesikia sasa hivi kutoka TBC taifa kuwa Kikwete aka Vasco Dagama kuwa hajawahi kusema popote kuwa serikali yake itajenga barabara ya rami kuunganisha Arusha na Mara kupitia mbuga ya Serengeti. Amesema hayo akimwambia Zuma kuwa yeye ni mtu wa mazingara.

.

Ni kweli kabisa yeye ni mtu wa mazingara.....
 
huu ujinga sio wake tu bali ni familia nziam sna imani kama kwao au familia yake kuna mwenye ubongo unaofanya kazi kiukweli kweli kwa hiyo tusimulaumu sana maana sio tukusahau bali utashi wauongo umemka sana ndani ndio maana ameambukiza mpaka serikali yake kila siku kila ofisi ni uongo tu hakuna kumbukumbu kuna mtumishi mmoja wa ubalozi wa tz nchini china ukiongea naye leo mkakubalia kesho ukimuuliza anakata katakata hajui hata kama ameandika barua anaikana kwa hilo sishangai sana.
 
''Sijawahi kuwa raisi wa Tanzania, nimepanga magogoni naendelea na biashara zangu, tehe tehe tehe, eti wananiita raisi. Kweli wale watu hamnazo!''
hapo patamu ni kweli anafanya biashara tu wala sio rais.
 
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONSUNITED REPUBLIC OF TANZANIATelephone: 255-22-2114512, 2116898E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.compress@ikulu.go.tzFax: 255-22-2113425PRESIDENT¡¯S OFFICE, THE STATE HOUSE,P.O. BOX 9120,DAR ES SALAAM .Tanzania.PRESS RELEASEThe Government has reiterated its position on the planned tarmachighway around the Serengeti National Park to ease transport problems facing poor communities surrounding the Park,saying it will still go ahead and build the road.However, contrary to what groups lobbying against the planned highway have been claming, the Government insists the highway will not be built through the Serengeti, which has been aclaimed internationally as the World Heritage Site.The Government position was articulated yesterday (Thursday, January 27, 2011) by the President of the United Republic of Tanzania, His Excellency Jakaya Mrisho Kikwete during his bilateral talks withthe Managing Directorof the World Bank, Ms.Ngozi Ikonjo-Iweala atthe margins of the World Economic Forum(WEF), which both the President and Mrs.Ikonjo-Iweala are attending in Davos.¡° Contrarary to whatsome people are saying, and to the rumours being circulated everywhere, my Government has never decided to build a tarmac roadthrough the Serengeti ,¡± President Kikwete toldMs Ikonjo-Iweala.President Kikwete toldthe World Bank Managing Director that the Government plan seeks to severely reduce the length of the current road passing through the Serengenti National Park.He said that currently a 220-kilometre unpaved road was running through the Serengeti and that the Government want to reduce it to only 54kilometres that will pass through the National Park and those 54 kilometers will remain unpaved.¡° Currently, 220 kilometres of road are passing through Serengeti National Park, rightin the middle of thePark. And there is huge traffic crossing the park with large lorries and huge buses. Weare unhappy with this situation. We want to reduce the length of road going through the Serengenti to only 54 kilometres passing mainly through the northern tip of the Park ,¡± said President Kikwete.He added: ¡° This planned highway will meet three major objectives. One, is to reduce the flow of traffic passing the Park. Second, is to reduce the length of the road runningthrough the Serengeti and thirdis to empower those poor communities living just outside the Serengeti to have areliable road going through their area .¡±¡° Some of the accusations againstthe Tanzania Government on thisissue are quite absurd. People sit in Dar es Salaam and listen to all these people and institutions which are paid to say badthings about the Government, said the President and added :¡° Tanzania has the most impacable record in conservation in theworld. About 20 percent of our land has been under conservation since our independence in 1961. We are a leading nation in conservation in theworld. How, then can we make decisions that would destroy the Serengeti? We would be the last people to destroy the Serengeti .¡±President Kikwete hasadvised those who areinterested in getting accurate facts about Government plans on the road supporting poor communities surrounding the Serengeti National Party to talk to the right people.¡° We have a responsibility to our people. They need a road and wewill deliver it to them while fully preserving our beloved Serengeti National Park ,¡± said President Kikwete in relation to the long-running campaign against this road mainly by non-governmental organisations (NGO¡¯s) and some conservation groups.Ends.Submitted by😀irector of Presidential Communication,DAVOS .28 January, 2011
 
This is too much sasa!!!

Is he really normal?? au kakumbwa na nini?
 
Back
Top Bottom