Kuna maneno nimeruka kidogo hapo-nilitaka kumaanisha interview ya Rais imejikita katika kufanya PR Gimmick on ministerial issues instead of responding to lingering national questions! Nadhani ya wizara angeziachia wizara. Angejikita katika masuala machache yenye kutoa Dira na Uongozi wa Vitendo kuelekea Tanzania tunayoitaka katika miaka michache ya utawala wake iliyobaki na pengine kujenga misingi ya miaka mingi ya baadaye ya Taifa letu hata kama yeye hatakuwa Rais tena wakati huo
JJ
MNYIKA
Nimesoma comment zako kwa kina na nimeweza kuelewa jambo mmoja kubwa sana kama mwananchi wa kawaida(mkulima.
Jambo la kwanza nimejifunza kua una jenga hoja kwa HISIA zaidi kuliko uhalisia wa mambo na hisia zako zimekua more personalised kwa watu flani nitajibu hoja zako kwa kuchukua vipengele vinne ulivotamka ktk ushauri wako kwa MH RAIS.
(1) MAISHA BORA
Umejenga hoja kua maisha bora serekali imeshindwa kuwaletea watanzania nadhani hapa kuna tatizo au nyie mlioko mijini hamjaelewa alicho kisema Ahadi ya CCM kuleta maisha bora haikua jambo la usiku mmoja ni jambo endelevu na hasa ktk sekta ambazo zina gusa watu wengi,na haya maisha hayaji ukiwa kijiweni serekali inawatengenezea mazingira ni jukumu lako kutumia firsa hizo kutafuta hayo maisha bora e.g Mikopo kwa wajasiria mali wadogo wadgo serekali imepeleka 1bn kila mkoa na watu wamekopesha kuna awamu ya pili itatoka na sasa zitatumika Saccos zaidi kuliko kutumia Ma BANK,eg Wakulima tumepewa mikopo ya matreka madogo na makubwa kupitia mpango wa kuboresha sekta ya kilimo na kuna mradi mkubwa uliowekwa na serekali kutupatia pembejeo na mbolea, leo mbolea ruzuku imeongezeka na yote haya hamyaoni ww ulipo mjini baada ya kumaliza elimu ya chuo kikuu urudi kwenu (kijijini) maeneo ni mengi uendeshe kilimo cha kisasa through ur education background na pia uwasaidie wanakiji na wakulima wenzio ili watumie firsa hizo.
Leo Barabara ya Kati ina kamilika just only 100km si lami ambazo ni btn BAHI to Manyoni 40km na Manyoni to Singida 60km pia Dar to Mtwara only 170km si lami ambazo ni rufiji kilwa part kilwa Lindi,(NAJUA HAPA WENYE MAWAZO FINYU WATASEMA SI SEREKALI YA JK NATAKA NIWAKUMBUSHE SEREKALI ZINAFANYA KAZI KWA KUPOKEZANA NA PIA NI UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM.
(2)OPINION POLLS
Hapa ndg mnyika umetumia zaidi study za REDET kua wenye elimu ndogo wanaimani na Rais wakati wenye elimu kubwa wana less confidence,Nataka niseme hivi hayo ni mawazo yao na haki yao but ikumbukwe kua serekali hii ni ya watu zaidi na experience imeonyesha kua sisi wakulima ndo sehemu kubwa wenye elimu ndogo ya DARASANI lakini tuna elimu kubwa ya MTAANI kuliko nyie wa hapo mlimani,sasa nini nasema programe nyingi za awamu ya NNE ni kunipatia elimu vijijini,Zahanati,Barabara,Mbolea,Masoko ya kata na wilaya ili niuze mahindi,mpunga,uwele etc,kunipatia elimu ya bure kwa watoto na wadogo zangu,thats why tuna imani na Rais,nyie Graduets mnaotaka ajira za ofisi ukiwa kiyoyzi mnaona hajafanya kitu,pia kwenu nyie mantumia zaidi THEORIES kuliko uhalisia eg.WB watatuambia pato langu mtanzania ni dola 200 walicho hesabu is only market price vitu vilivyo letwa sokoni naonekana mtanzania ni maskini while pato langu si hivo what abt mahindi ninayo chuma shambani na kusaga na kula ugali,what abt maboga,etc vyote hivi kwa sababu haviendi sokini havionekani ktk pato langu.sasa nyie wasomi kwasababu mnatumia zaidi theories kuliko uhalisia na mnataka serekali iendeshwe kwa mawazo hayo bado mtakua hamna imani.
(3)KUVUNJWA BARAZA
Mnyika hapa umenishangaza sana na wote wenye mawazo yako unajenga hoja LOWASA aondolewe na baraza livinjwe umeshindwa kutaja mapungufu ya LOWASA na Baraza kwa ujumla toa Annalysis yako kwa kila waziri taja mapungufu ya KIUTENDAJI na si BINAFSI ili tuweze kuchangia usiseme baraza livunjwe na LOWASA aondolewe bila kujenga hoja na kutuonyesha mapungufu yao ya na kutoa njia mbadala atoke nani aingie nani na kwa sababu zipi kiutendaji,sisi TUNAONA ZAHANATI ZINA JENGWA,SHULE ZINAJENGWA,BARABARA ZINA JENGWA najua mtajenga hoja yenu kua HAMNA WAALIMU,napenda mfahamu kua huwezi kununu furniture kabla hujawa na makazi or huwezi kulima kabla hujaandaa shamba.
Ktk ushauri wako kwa Rais umedai kua serekali imeshindwa kuleta huduma bora kwa wananchi jambo ambalo napingana na ww bcs umeshindwa kuonyesha measurement yako kutaka kupima hizo huduma na ukumbuke kua ILANI ambayo imeahidi kua itatoa maisha bora kwa kila mtazania ni ya miaka 10 longterm indication za hayo maisha tunaziona sisi wakulima huku vijijini nyie mlioko Dar es saalam inakua ngumu kuona bcs wote mnataka change za over nite,ifike mahali Upinzani ufanye kazi kwa maslahi ya Watanzania kuliko mnavofanya kazi sasa mnejenga hoja nyingi kwa ubinafsi zaidi kuliko uhalisia Chama chako kupitia Slaa mmetangaza kwa watanzania Mafisadi which u cant proove.its full of FALACIES kuliko uhalisia wa jambo,JIULIZE WEWE KAMA MTANZANIA UNAFANYA NINI KUTUSAIDIA WATANZANIA SI UNAFANYA NINI KUJISAIDIA BINAFSI,napo ona issue imeongelewa na ZITO,WEWE mnanikumbusha machungu ya pale mlimani mlivokua mnatumanupulate kutuingiza ktk migogoro kumbe mna maslahi binafsi nacho waomba msiwapotoshe watanzania nilisikia kauli ya ZITO NA MBOWE walipokuja mikoani kutueleza mabo ya ufisadi na budget btn jully na august nilisikitika sana walipokua wakinadi agenda kua wamekuja kututia HASIRA WANANCHI nikakumbuka siasa za Daruso nataka niwashauri this is not Daruso politics ni issue ya Taifa.
Sipingi wajibu wenu wa kukosoa na pinga kazi mnayofanya ya kupotosha acheni serekali hii imefanya na inafanya mengi kwetu wananchi Vyombo vya habari through nyie manafanya kazi kubwa ya kupotosha uhalisia.Nahapa namkumbuka FIDEL CASTROL aliwahi kusema sababu kubwa ya kuminya vyombo vya habari kwa nchi changa kama yake ni kusaidia maendeleo bcs ukiacha freedom kubwa unasababisha vurugu kwani kila oppurtnist atatumia vyombo kujijenga.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
0713375955
NB;Administrator anatabia ya kuondoa baadhi ya koment na omba asifanye hivo kama this forum is open for every one basi huo mchezo aache.nimekoment issues 2 or 3 next day imeondolewa sidhani kama tuna jenga bali tuna bomoa.
Mnyika nimeweka namba yangu ili ikifika one day wilaya Njombe unipigie nikupeleke kwenye mashamba muone kazi inayofanywa na serekali ya awamu ya nne.