inawezekana pia jeikei hana matatizo ya sukari,wala pressure!ndo maana anaamini haitaji mazoezi
....kufanya mazoezi hakuhitaji uumwe diabetis na BP kwanza ndio uanze, anatakiwa aanze angali na afya nzuri (of course this applies to all of us with signs of obesity). Kinga ni bora kuliko tiba atii!