L Lwikunulo Senior Member Joined Jun 1, 2007 Posts 110 Reaction score 35 Sep 23, 2009 #21 Geoff said: inawezekana pia jeikei hana matatizo ya sukari,wala pressure!ndo maana anaamini haitaji mazoezi Click to expand... ....kufanya mazoezi hakuhitaji uumwe diabetis na BP kwanza ndio uanze, anatakiwa aanze angali na afya nzuri (of course this applies to all of us with signs of obesity). Kinga ni bora kuliko tiba atii!
Geoff said: inawezekana pia jeikei hana matatizo ya sukari,wala pressure!ndo maana anaamini haitaji mazoezi Click to expand... ....kufanya mazoezi hakuhitaji uumwe diabetis na BP kwanza ndio uanze, anatakiwa aanze angali na afya nzuri (of course this applies to all of us with signs of obesity). Kinga ni bora kuliko tiba atii!
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,947 Reaction score 4,470 Sep 23, 2009 #22 Pretty said: Mwanaume akiwa na kitambi inabore. Click to expand... Yeah na mwanamke akiwa na litumbo kubwa kama sio mimba inabore sana
Pretty said: Mwanaume akiwa na kitambi inabore. Click to expand... Yeah na mwanamke akiwa na litumbo kubwa kama sio mimba inabore sana