BONGOLALA JF-Expert Member Joined Sep 14, 2009 Posts 16,508 Reaction score 11,897 Oct 29, 2010 #1 Jk msanii eti serikali imeandaa waalimu wa science kwa univ of mwenge marangu!swali ni ya govt au kkkt?
Jk msanii eti serikali imeandaa waalimu wa science kwa univ of mwenge marangu!swali ni ya govt au kkkt?
K Kimambo Member Joined Mar 31, 2008 Posts 76 Reaction score 5 Oct 29, 2010 #2 mh this guy kwa kweli hafai ati synovate wanatoa hela ni wazungu redet wanaotoa hela ni wazungu hahahahaha
mh this guy kwa kweli hafai ati synovate wanatoa hela ni wazungu redet wanaotoa hela ni wazungu hahahahaha
Kishongo JF-Expert Member Joined May 4, 2010 Posts 932 Reaction score 64 Oct 29, 2010 #3 Hakusema ni ya serikali. Amewashukuru kwa kufundisha science tupu.
BONGOLALA JF-Expert Member Joined Sep 14, 2009 Posts 16,508 Reaction score 11,897 Oct 29, 2010 Thread starter #4 kwa hiyo govt haiku play role yake.wananchi wamejenga shule wametimiza wajibu wao!serikali haikupeleka waalimu na haikutoa muongozo wa kujengwa maabara
kwa hiyo govt haiku play role yake.wananchi wamejenga shule wametimiza wajibu wao!serikali haikupeleka waalimu na haikutoa muongozo wa kujengwa maabara