Elections 2010 Jk university of mwenge ni ya serikali?

Elections 2010 Jk university of mwenge ni ya serikali?

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Posts
16,508
Reaction score
11,897
Jk msanii eti serikali imeandaa waalimu wa science kwa univ of mwenge marangu!swali ni ya govt au kkkt?
 
mh this guy kwa kweli hafai ati synovate wanatoa hela ni wazungu redet wanaotoa hela ni wazungu hahahahaha
 
Hakusema ni ya serikali. Amewashukuru kwa kufundisha science tupu.
 
kwa hiyo govt haiku play role yake.wananchi wamejenga shule wametimiza wajibu wao!serikali haikupeleka waalimu na haikutoa muongozo wa kujengwa maabara
 
Back
Top Bottom