Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
- Thread starter
-
- #21
..mwanajeshi gani ..alikuwa nanga tu..ndio maana waitara na sayore walikuwa wakimdharau ...kijeshi..kwani walimfundisha.....hakuwa na rekodi yeyote ya ushujaa jeshini zaidi ya kupanda cheo kisiasa..yeye na kina makamba walikuwa makamisaa wa siasa tu..ukiongelea wanasiasa askari mashujaa labda umuongelee mtu kama brig,gen ngwilizi...that is a really soldier ...and he mastered mocambique war and kagera...
............huyu nguin hata kagera hakwenda...still watu wanataka kumuweka kwenye kundi la askari..[hana bawa apart from being political commiser].....nilikuwa nashangaa sana watu kudhani mtu anayecheka cheka anaweza kutoa amri yeyote..hasa inayoweza kulinganishwa na ya kijeshi!!
Endeleeni kutafuta udhuru tu kwa serikali yenu. Kiongozi anaposhindwa kuongoza anakuwa si kiongozi. Serikali haiwezi kufanya makosa, watendaji wa serikali hawawezi kufanya makosa. Makosa yako kwa watu wengine tu. Nadhani hili ni kosa la Chadema kupigia kelel ufisadi hadi watu wanaogopa kumalizia daraja. CHADEMA kibebeshwe lawama za tatizo hili na wasiligeuze kuwa la kisiasa.
Meanwhile, nina ripoti kuwa Albino mwingine ameuawa huko Biharamulo katikati ya wiki iliyopita. Mzee wa miaka 46 na mke wake kajeruhiwa. Tutajaribu kuungana na mkuu wa POlisi wa mkoa baadaye kwenye matangazo ya mchana..
Ukweli na usemwe!
PM,
Huenda usalama wa Taifa ndio waliomuambia asipande hiyo boat... endelea tu ku-conclude vitu ambavyo huna hakika navyo.
-Mkuu sina historia nzuri/ufahamu sana wa Mambo ya Kijeshi haswa Nyumbani Tz. je?, ni nani aliyekuwa mkuu wa kituo cha mafunzo ya kijeshi(cadet) kwa wakati huo(JK's time)..mwanajeshi gani ..alikuwa nanga tu..ndio maana waitara na sayore walikuwa wakimdharau ...kijeshi..kwani walimfundisha.....hakuwa na rekodi yeyote ya ushujaa jeshini zaidi ya kupanda cheo kisiasa..yeye na kina makamba walikuwa makamisaa wa siasa tu..ukiongelea wanasiasa askari mashujaa labda umuongelee mtu kama brig,gen ngwilizi...that is a really soldier ...and he mastered mocambique war and kagera...
............huyu nguin hata kagera hakwenda...still watu wanataka kumuweka kwenye kundi la askari..[hana bawa apart from being political commiser].....nilikuwa nashangaa sana watu kudhani mtu anayecheka cheka anaweza kutoa amri yeyote..hasa inayoweza kulinganishwa na ya kijeshi!!
-Jamani kwani ukishakuwa afisa wa kijeshi basi kucheka nako mwiko??
-Mkuu sina historia nzuri/ufahamu sana wa Mambo ya Kijeshi haswa Nyumbani Tz. je?, ni nani aliyekuwa mkuu wa kituo cha mafunzo ya kijeshi(cadet) kwa wakati huo(JK's time)
-Naelewa kupanda vyeo jeshini hutegemea sababu mbaliX2(Ushujaa,Muda Maalumu,kutimiza Kozi fulaniX2)ila sidhani kama siasa/upendeleo ni sababu mojawapo.
-Naelekea kufikiri Rtrd.Gen.Waitara(4star Gen.),Rtrd.GenSayore(3star Gen.),Rtrd.Brig.Gen.Gwilizi(1star Gen.),hawa ni zaidi ya Askari,ni Maafisa wa ngazi ya juu wa kijeshi(kwa nidhamu ya kijeshi sidhani ni sahihi kuwaita askari)

kucheka Na Kutocheka Ni Maumbile Ya Binadamu!!! Rais Wa Kenya Ana Kawaida Ya Kufinya Finya Uso... Lakini Hiyo Haimfanyi Asiwe Rais Wa Nchi...
In Short Tuna-mitizamo Tofauti... Wale Wanaotaka Demokrasi Na Wale Wanaotaka Dikteta.
..katika hali ya kawaida usalama wasingeweza kumruhusu apande hiyo..boti..that is obvious......sio suala la conclude wala nini...
..mtu yeyote anaweza kumtetea ..kama unavyotetea.......
...teh!..teh teh,duhh..Mkuu say no more, i don't suppose there is a better example to drive Ur point home like the one above.
.... Au ukisomea upadri, by the time unamaliza masoma na kuwa "Father" tayari utajikuta unaongea kwa upole kama Pope..!!