-Mkuu sina historia nzuri/ufahamu sana wa Mambo ya Kijeshi haswa Nyumbani Tz. je?, ni nani aliyekuwa mkuu wa kituo cha mafunzo ya kijeshi(cadet) kwa wakati huo(JK's time)
-Naelewa kupanda vyeo jeshini hutegemea sababu mbaliX2(Ushujaa,Muda Maalumu,kutimiza Kozi fulaniX2)ila sidhani kama siasa/upendeleo ni sababu mojawapo.
-Naelekea kufikiri Rtrd.Gen.Waitara(4star Gen.),Rtrd.GenSayore(3star Gen.),Rtrd.Brig.Gen.Gwilizi(1star Gen.),hawa ni zaidi ya Askari,ni Maafisa wa ngazi ya juu wa kijeshi(kwa nidhamu ya kijeshi sidhani ni sahihi kuwaita askari)
-Jamani kwani ukishakuwa afisa wa kijeshi basi kucheka nako mwiko??