Tatu
JF-Expert Member
- Oct 6, 2006
- 1,143
- 372
Wazalendo
Kwani safari za Ulaya na Marekani zimeisha? Ajabu nafikiri mwezi umepita JK anapiga MISELE ndani ya TZ. Hata Ikulu hawezi kukaa kuangalia nchi inaelekea wapi na nini anatakiwa kufanya kama raisi kutoa miongozo na sera zake za kumwinua Mtanzania.
Raisi Tanzania ana tofauti gani na King au Queen? Manake sioni sera zozote ambazo wananchi tunazijua zinatoka kwa raisi. Kila utakayemuuliza katika safu nzima ya uongozi kuanzia raisi mpaka mawaziri na watendaji wa wizara, hawajui kinachoendelea zaidi ya kutupiana mpira. Hata waandishi wao wa habari hawajui wakuu wao wanasimama wapi kwenye issue muhimu za nchi.