JKCI kuanzisha matawi Zambia, DRC na Malawi. Mbona nchi bingwa kwa tiba kama Tunisia na India hazina matawi nje? Medical Tourism imepata tafsiri mpya?

nasie itakuwa hivyohivyo, upasuaji wa mishipa na kuziba matundu ya moyo utafanyika hapa, huko nje zitafanyika tiba za mabusha tu
 
Waweke matawi mbeya,Arusha,Dodoma,mwanza na Kigoma ndipo mutuambie habari za Lusaka. Otherwise huu ni upigaji mwingine umeanza
arusha kuna kcmc dodoma benmkapa mwanza bugando, zote kufika mwakani wataziba matundu ya myoyo
 
Huko Lusaka,hawajui wao cha kufanya?
rejea comment zangu juu, hizi huduma zinafaa kutolewa kikanda, kumlipa dr janabi na team yake sio kazi ndogo, kukagua tu moyo sio chini ya 5m, Dr Janabi atatibu ukanda wote wa chini ya jangwa la sahara, kama ilivyo kwa boeing karakana kuu iko south africa inahudumia ukanda wote wa africa na caribean, huko zambia utafanyika ukaguzi wa mioyo tu na kutibu mabusha upasuaji wa mioyo utafanyika dar
 
 
Kwa hiyo mnapeleka mradi Lusaka kwa sababu ya Janabi? Akikata moto mradi utaelekea wapi?
 
Kwa hiyo mnapeleka mradi Lusaka kwa sababu ya Janabi? Akikata moto mradi utaelekea wapi?
mkuu, Janabi sasa hivi ni MD wa Muhimbili ana team ya ma sajon tena vijana wadogowadogo, wanachambua mishipa usipime, hadi ulaya wanaitwa kupiga kazi
 
Mikoani tu hawajafikia watu , gharama zao bado ziko juu bado wanakimbilia nje ,sisi wabongo Mbwembwe nyingi sana


USSR
Unajua bei ya cardiac cathetarization nje ya Tanzania, au gharama za operation zozote za JKCI ukilinganisha na nje ya nchi?

Bei za matibabu Tanzania bado ni ndogo mno ukilinganisha na nchi zozote zinazotuzunguka. Ukisema bei ni kubwa toa comparison kuwa unalinganisha na nani
 
Tuna mbwembwe sana, tuboresha Kwanza huduma za ndani, fungueni JKCI nyingine Lake zone, Southern zone na Northern zone.

Hakikisheni pia mnatoa scholarship za kutosha ili watalaam wa moyo wawe wengi muwasambaze kwenye vituo vyenu mikoani.
 
We sio mzima wa afya sasa😆😆😆
 
mkuu, Janabi sasa hivi ni MD wa Muhimbili ana team ya ma sajon tena vijana wadogowadogo, wanachambua mishipa usipime, hadi ulaya wanaitwa kupiga kazi
Aisee, sasa shirika imeshindwa kuhusumia per zonal hata kufika nationally unataka kuipeleka globally. Unajua WHO health laws ni universally ila zipo za local pia. Na mpaka sasa many advanced health sirgeries, procedures na equipments huna au unavyo vichache kwasababu hatujafikiria nusu ya kiwango cha hospitali kama inavuotakiwa kufikia as per worldwide kwasababu hata hospitali ya Kenya hatujaifikia nusu we unaangaika na kutanua huku huduma bado sio standard and complete. Aisee! Unatafuta pesa za kuwalipa madaktari wa hapo au unatafuta kufikia malengo ya huduma bora. Kama wapo wengi huwezi kuwalipa wapelekeni zonal hospitals msogeze huduma karibu. Kila mwezi au miezi 3 mgonjwa anasafiri kutoka mkoani kwenda JKCI kwasababu kuna huduma nyingi zonal hospitals bado hawajaweza kuzifanya. Akili ya mtanzania ni ngumu mno.
 
Hawa wana akili kweli??? Yaani wanashindwa Kwenda Mwanza ,Mbeya na Kaskazini wanajifanya waende Kongo stupid.
 
Boresheni Huduma hapa Tanzania na hospital zote kubwa za Mikoa ziwe zina tiba bobezi.

Mamilioni ya watu wanazidi kuongezeka unazungumzia habari ya hospital za Kanda? Inatakiwa hospital za Mkoa ziwe na tiba hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…